Mudavadi, Raila kutoa taarifa kuhusu uenyekiti wa AUC

0
Waziri mwenye Mamlaka Makuu Musalia Mudavadi na aliyekuwa Waziri Mkuu  Raila Odinga leo Jumatano watatoa taarifa ya pamoja kuhusu hatua zilizopigwa katika uwaniaji wa...

Trump kizimbani katika kesi ya ulaghai dhidi ya familia yake

0
Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amefika kwenye mahakama moja huko Manhattan, kutoa ushahidi kwenye keshi ya ulaghai huko New York dhidi ya...

Uhispania kwenye njia panda baada ya uchaguzi mkuu

0
Uhispania imejipata kwenye njia panda ya mrengo wa kulia na ule kushoto kushindwa kutwaa ushindi katika mchakato wa kuunda serikali mpya kufuatia uchaguzi wa...

Rais Ruto aidhinisha kuondoka kwa kundi la kwanza la polisi 400 kwenda Haiti

0
Rais William Ruto amekabidhi bendera ya taifa kwa kundi la kwanza la polisi 400 wanaoelekea nchini Haiti kudumisha utulivu na usalama. Polisi hao watakaosafiri kati...
Katibu wa Elimu ya Msingi Dkt. Belio Kipsang

Wizara ya Elimu: Hatujabadili tarehe ya likizo ya katikati ya muhula

0
Wizara ya Elimu imepuuzilia mbali madai kuwa imebadilisha tarehe ya likizo ya katikati ya muhula wa pili kwa wanafuzi kote nchini.  Wizara ilitoa taarifa hiyo...

Waziri Kindiki aelezea masharti ya kuzingatiwa wakati wa maandamano

0
Waziri wa Usalama wa Kitaifa Prof. Kithure Kindiki ameelezea masharti kadhaa yanayopaswa kuzingatiwa na waandamanaji wakati wa maandamano ya kupinga Mswada wa Fedha 2024.  Waandamanaji...

Matukio ya Taifa: Kaunti ya Narok kukarabati bara bara katika mitaa mbali mbali kurahisisha...

0
Serikali ya kaunti ya Narok imeanza shughuli za kukarabati bara bara zote katika mitaa mbali mbali mjini humo kwa lengo la kurahisisha uchukuzi sawa...

Kenya na Japani zaandaa kongamano la miundombinu bora

0
Kenya na Japani zimeandaa kongamano la pili la miundombinu bora baina ya nchi hizo mbili.  Kongamano hilo liliandaliwa katika hoteli moja jijini Nairobi na kuhudhuriwa...

Mwanzilishi wa taasisi ya NIBS aaga dunia

0
Lizzie Wanyoike ambaye anafahamika sana nchini Kenya kwa kuanzisha taasisi ya "Nairobi Institute of Business Studies" almaarufu NIBS ameaga dunia. Familia yake ilithibitisha kifo chake...

STAY CONNECTED

0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe
Google search engine

FEATURED

MOST POPULAR

Naibu Rais Rigathi Gachagua ahimiza umoja Mlima Kenya

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua amehimiza wakazi wa eneo la mlima Kenya wawe na umoja na upendo kila wakati akiongeza kusema kwamba kamwe hawezi kukubali...

LATEST REVIEWS

Wakenya kupata vitambulisho vipya vya kidijitali

0
Wakenya watapatiwa vitambulisho vipya vya kidijitali huku idara ya uhamiaji na kutoa huduma kwa wananchi ikianza kutekeleza agizo la Rais William Ruto la mwezi...

Bei ya mahindi kutangazwa wiki ijayo

0
Waziri wa Kilimo Mithika Linturi ameahidi kutangaza bei mpya ya serikali  kununua mahindi kutoka kwa wakulima wiki ijayo. Maeneo mengi yanoyokuza mahindi nchini yanatazamiwa kuanza...

LATEST ARTICLES