LATEST ARTICLES

Tanzania kujenga kituo cha uwekezaji na afisi za ubalozi Nairobi

0
Waziri aliye na Mamlaka Makuu Musalia Mudavadi ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje jana Jumanne aliongoza hafla ya kuipa Tanzania ardhi ya...

Gachagua ahudhuria kuapishwa kwa Ramaphosa Afrika Kusini

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua alikuwa miongoni mwa mamia ya viongozi wa dunia waliokusanyika mjini Pretoria kuhudhuria hafla kuapishwa kwa Rais wa Afrika Kusini Cyril...

Rais Ruto akutana na viongozi wa chama cha ANC

0
Rais William Ruto aliandaa kikao na viongozi wa chama cha Amani National Congress, ANC cha Waziri aliye na Mamlaka Makuu Musalia Mudavadi katika Ikulu...

Waziri Mutua akosoa wanaopinga Mswada wa Fedha 2024

0
Dkt. Alfred Mutua ambaye ni Waziri wa Utalii na Wanyamapori nchini ameonyesha kutoridhika kwake na wanaopinga Mswada wa Fedha wa mwaka 2024. Dkt. Mutua alitaja...

Afueni kwa waathiriwa wa maporomoko ya ardhi Tinderet

Zaidi ya wakulima 500 walioathirika na maporomoko ya ardhi Katika eneo la Tinderet kaunti ya Nandi wana kila sababu ya kutabasamu Baada ya kuchimbiwa...

Matumizi ya pombe na mihadarati: Wakenya milioni 4 wahitaji usaidizi

0
Wakenya wapatao milioni 4 wanahitaji huduma za ushauri nasaha na urekebishaji mienendo. Haya ni kulingana na taarifa ya katibu wa usalama wa taifa Raymond...

Wakenya waonywa dhidi ya kushirikishana taarifa za kibinafsi

0
Kamishna wa Ulinzi wa Data Immaculate Kassait amewaonya Wakenya dhidi ya kushirikishana taarifa za kibinafsi za watu bila idhini ya watu hao.  Katika taarifa, Kassait...

Ukulima wa pareto waimarika Elgeyo Marakwet

0
Ukulima wa pareto katika kaunti ya Elgeyo Marakwet uliimarika katika nusu ya kwanza ya mwaka huu.  Zao la pareto liliongezeka maradufu mwaka huu ikilinganishwa na...

Vituo vya ECDE Turkana vyapokea unga wa uji uliorutubishwa

0
Vituo zaidi ya 1,000 vya chekechea, ECDE katika kaunti ya Turkana vinatazamiwa kufaidika na mifuko 8,333 ya unga wa uji uliorutubishwa wa kilo 25....

KQ yarejesha safari kati ya Nairobi na Maputo

0
Shirika la ndege la Kenya Airways, KQ limetangaza kurejeshwa kwa safari kati ya Nairobi-Maputo.  Safari hizo zilikuwa zimesitishwa kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita. Hafla ya...