LATEST ARTICLES

Wizara ya Elimu imebadilisha tarehe ya likizo ya katikati ya muhula kwa wanafuzi kote nchini, kufuatia kuathiriwa ufunguzi wa shule kwa muhula wa pili. Kulingana na arifa kutoka kwa Wizara ya Elimu iliyoandikwa na Katibu wa elimu ya msingi Dkt.Belio...
Waziri wa Usalama wa Kitaifa Prof. Kithure Kindiki ameelezea masharti kadhaa yanayopaswa kuzingatiwa na waandamanaji wakati wa maandamano ya kupinga Mswada wa Fedha 2024.  Waandamanaji hasa vijana wanaofahamika kama Gen Z wamepanga kufanya maandamano makubwa kesho Jumanne kupinga mswada huo. Miongoni...
Timu ya taifa ya raga ya Kenya kwa wacehzaji saba upande ya wanaume,Shujaa imejumuishwa kundi gumu katika michezo ya Olimpiki ya mwaka huu jijini Paris Ufaransa itakayoanza mwezi mmoja ujao. Kenya imerushwa kundi B pamoja na mabingwa mara saba  Argentina,...
Kenya imepokea ruzuku yenye thamani ya shilingi bilioni 59.7 ambazo ni sawa na dola milioni 407,989,068 za Marekani kutoka kwa Global Fund kusaidia mapambano dhidi ya magonjwa ya Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria. Ruzuku hiyo, ambayo itatolewa kuanzia Julai,...
Kundi la waandamanaji wanaopinga Mswada wa Fedha wa mwaka 2024 leo Jumatatu walivamia afisi ya mbunge wa Nyali Mohamed Ali kuwasilisha na kuelezea kutoridhishwa kwao kutokana na madai ya mbunge huyo kushindwa kutangaza msimamo wake kuhusu Mswada wa Fedha...
Chama cha Economic Freedom Fighters (EFF) cha Afrika Kusini kimeunga mkono kile kinachokitaja kuwa maandamano ya amani yanayofanywa na Wakenya kupingwa Mswada wa Fedha 2024.  Katika taarifa, chama hicho kinachoongozwa na Julius Malema kinasema maandamano yanayorindima humu nchini ni ishara...
Jaji Mkuu Mstaafu Dkt. Willy Mutunga amelalamikia madai yaliyokithiri ya kutekwa nyara kwa baadhi ya wanaharakati na waandamanaji wanaopinga Mswada wa Fedha 2024.  Ametaja hatua hiyo kuwa kinyume cha sheria. Akizungumza alipofika katika makao makuu ya idara ya upelelezi wa jinai,...
Serikali imewahakikishia wazazi kuwa watoto wao wanaokwenda shule watapata bima kamili chini ya mfumo mpya wa Bima ya Afya ya Jamii (SHIF), ambao unatarajiwa kuchukua nafasi ya NHIF. Katibu waziri wa Afya ya Umma na Viwango vya Kitaalamu Muthoni Muriuki...
Baadhi ya viongozi wa makanisa na wa kisiasa katika kaunti ya Nandi wameunga mkono msimamo wa Rais William Ruto na serikali yake kuhusu maandamano ya kizazi cha "Gen Z". Akizungumza jana huko Nyahururu alikohudhuria ibada, Rais alisema wako tayari kufanya...
Baraza la Kitaifa la Makanisa Nchini, NCCK limetoa wito kwa serikali ya Kenya Kwanza kusikiliza vilio vya waandamanaji wanaopinga Mswada wa Fedha 2024.  Waandamanaji hao hasa vijana wiki iliyopita walijitokeza kwa wingi katika miji mbalimbali kupinga mswada huo wanaosema utafanya...