Home Biashara Halmashauri ya Maziwa nchini Kenya yaruhusu uagizaji wa maziwa kutoka...

Halmashauri ya Maziwa nchini Kenya yaruhusu uagizaji wa maziwa kutoka Uganda

0

Halmshauri ya maziwa nchini Kenya -KDB, imebadilisha msimamo wa awali wa kupiga marufuku uagizaji wa maziwa kutoka nchini Uganda.

Yamkini bodi ya maziwa ya Kenya imeagiza maziwa ya unga kutoka nchini Uganda katika kipindi cha miezi ya Julai,Agosti na Disemba msimu ambao hushudiwa viwango vya maziwa yanayozalishwa Kenya.

Hata hivyo halmashauri hiyo imedumisha marufuk ya kununua bidhaa za maziwa kutoka kwa kampuni ya Brookside Uganda inayomilikiwa na Rais mstaafu Uhuru Kenyatta.

Hii inamaanisha kuwa maziwa hayo yataagizwa kutoka kwa kampuni za Pearl Diaries na Amos Diaries kupewa temda hiyo.

Website | + posts