Home Kimataifa HELB yafutilia mbali vyeti 57 vya walionufaika na mkopo

HELB yafutilia mbali vyeti 57 vya walionufaika na mkopo

HELB hutoa mikopo ya masomo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kwa riba ya chini.

0
kra

Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, HELB imefutilia mbali vyeti 57 vya wanafunzi walionufaika na mikopo bila kutoa sababu maalum.

Vyeti hivyo hutolewa kwa wanafunzi waliomaliza kulipia mikopo ya masomo ya vyuo vikuu na ni hitaji maaluma kwa kila anayetafuta kazi.

kra

HELB hutoa mikopo ya masomo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kwa riba ya chini.

 

Website | + posts