Home Habari Kuu Familia 50 zahamishwa kuepuka mafuriko

Familia 50 zahamishwa kuepuka mafuriko

0

Serikali imehamisha familia 50 zinazoathirika na mafuriko katika kaunti ndogo ya Limuru kaunt ya  Kiambu, kufuatia mvcua kubwa inayoshuhudiwa kote nchini.

Familia kumi kati ya zile zilihamishwa zilikuwa zikiishi karibu na  kinamasi cha Manguo eneo la Limuru huku nyingine 40  zikiishi katika maeneo ya  Kwambira, Kamirithu, Farmers na Karanjee.

Mvua kubwa inayoshohudiwa nchini imesababisha  maafa na hasara kubwa katika maeneo mbalimbali nchini tangu mwanzoni mwa mwezi huu.

Website | + posts