Home Michezo Fainali za AFCON mwaka 2025 kuandaliwa kati ya Disemba na Januari

Fainali za AFCON mwaka 2025 kuandaliwa kati ya Disemba na Januari

0
kra

Makala ya 35 ya fainali za kuwania kombe la AFCON yataandaliwa nchini Morocco kati ya Disemba 21 mwaka 2025 na Januari 18 mwaka 2026.

Shirikisho la kandanda barani Afrika (CAF) liliafikia uamuzi huo jana katika kikao maaluma klichoongozwa na kinara wake Dkt Patrice Motsepe.

kra

Pia CAF ilitangaza kuahirisha fainali za kuwania kombe la Afrika kwa wanawake WAFCON, kutoka mwaka huu hadi mwaka ujao kuanzia Julai 5 na 26.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here