Home Habari Kuu EPRA yapunguza bei ya mafuta kwa hadi shilingi 18

EPRA yapunguza bei ya mafuta kwa hadi shilingi 18

0

Mamlaka inayothibiti bidhaa za mafuta nchini EPRA imepunguza bei ya mafuta kwa hadi shilingi 18 .

Kulingana na bei mpya zilizotangazwa Jumapili na EPRA,petroli imepunguzwa kwa shilingi 5 na senti 31 kwa litahuku dizeli ilipungua kwa shilingi 10 kwa lita moja, wakati mafuta taa yakipunguzwa kwa shilingi 18 na senti 68.

Bei hiyo mpya itaanza kutekelezwa usiku wa manane wa Aprili 15.

Website | + posts