Home Vipindi Dunia Wiki Hii: Spika wa Marekani abanduliwa katika kura ya Kihistoria

Dunia Wiki Hii: Spika wa Marekani abanduliwa katika kura ya Kihistoria

0

Kevin McCarthy amefukuzwa katika uasi wa mrengo wa kulia – mara ya kwanza kabisa kwa Spika wa Baraza la Wawakilishi la Marekani kupoteza kura ya kutokuwa na imani naye.

feedback@kbc.co.ke | Website | + posts