Home Kaunti Dunia Wiki Hii: Maafisa 6 wa polisi wauawa na wengine kujeruhiwa katika... Kaunti Dunia Wiki Hii: Maafisa 6 wa polisi wauawa na wengine kujeruhiwa katika shambulizi la kigaidi Pakistan By radiotaifa - February 11, 2024 0 FacebookTwitterPinterestWhatsApp Magaidi wasiojulikana walishambulia kituo cha polisi cha Chaudhwan kwenye eneo la Dera Ismail Khan kwa kutumia bunduki, bastola za rasharasha na guruneti za kurushwa kwa mikono kwa mujibu wa taarifa za polisi kwa shirika la Xinhua. radiotaifa feedback@kbc.co.ke | Website | + posts Moja kwa Moja, Taarifa ya Habari saa tatu asubuhi Taarifa ya Habari saa saba Mchana Matukio ya Taifa: Rais Ruto aagiza wafanyakazi wa umma kuongezewa Mshahara Matukio ya Taifa: Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta atoa mchango wa shilingi 2M kwa shirika la Msalaba Mwekundu