Home Vipindi Dunia Wiki Hii: Kongamano la Afrika kuhusu Tabia Nchi laandaliwa nchini Kenya

Dunia Wiki Hii: Kongamano la Afrika kuhusu Tabia Nchi laandaliwa nchini Kenya

0

Katika makala ya juma hili, 

Kongamano la Afrika kuhusu Tabia Nchi laandaliwa nchini Kenya huku miito ya ufadhili zaidi ikitolewa, nao viongozi wa bara hilo wakiazimia kuimarisha juhudi za kukabiliana na mabadliko ya tabia nchi.