Home Vipindi Dunia Wiki Hii : Kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa...

Dunia Wiki Hii : Kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa chaanza New York

0
NEW YORK, NY - SEPTEMBER 13: The 77th session of United Nations General Assembly opens at the United Nations (UN) headquarters on September 13, 2022 in New York City. (Photo by Liao Pan/China News Service via Getty Images)

Kikao cha 78 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, UNGA kilianza jijini New York, Marekani Septemba 5 huku shughuli za ngazi za juu zikiandaliwa baina ya Septemba 18 na 22. Marais, wakuu wa serikali, mawaziri, mashirika ya utoaji misaada na yale ya kijamii yanakusanyika kuandaa na kushiriki hafla mbalimbali.

feedback@kbc.co.ke | Website | + posts