Home Kimataifa DRC yasaini mwafaka wa kupokea majeshi  kutoka SADC

DRC yasaini mwafaka wa kupokea majeshi  kutoka SADC

0

Jamhuri ya Demokrasi ya Congo, DRC imesaini mkataba  na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika, SADC utakoshuhudia kupelekwa kwa vikosi vya kulinda usalama nchini humo.

Rais Félix Tshisekedi alishuhudia utiaji saini wa mkataba huo Ijumaa wiki iliyopita mjini Kinsasha.

Majeshi hayo yatapambana na kundi la wanamgambo la M23 ambalo limesabisha ukosefu wa usalama nchini humo.