Home Michezo Djokovic na Bonmati washinda tuzo za Laureus mwaka 2024

Djokovic na Bonmati washinda tuzo za Laureus mwaka 2024

0

Mchezaji nambari moja ulimwenguni Novak Djokovic wa Serbia na mchezaji soka wa timu ya taifa ya Uhispania, iliyotwaa kombe la dunia mwaka uliopita Aitana Bonmatim, ndio wahindi wa tuzo za Laureus.

Djokovic alishinda mataji ya Australian Open, Roland-GarroS na US Open mwaka uliopita wakati kiungo Bonmati akichangua pakubwa kwa Uhispania kutwaa kombe la Dunia kwa mara ya kwanza na kung’aa akiwa na klabu yake ya FC Barcelona msimu jana.

Aitana Bonmati -Mchezaji wa timu ya Uhispania ya wanawake

Timu ya taifa ya Uhispania ya wanawake imenyakua tuzo ya timu bora ya mwaka .

Hafla hiyo iliandaiwa Jumatatu usiku mjini Madrid Uhispania.

Website | + posts