Home Vipindi Daktari wa Radio: Ugonjwa wa Rheumatic ni ugonjwa wa aina gani?

Daktari wa Radio: Ugonjwa wa Rheumatic ni ugonjwa wa aina gani?

0

Kulingana na shirika la afya duniani Zaidi ya watu milioni thelathini na tatu wanaathirika na ugonjwa huu huku ukisababisha zaidi ya vifo mia tatu elfu kila mwaka.