Home Vipindi Daktari wa Radio: Hydrocephalus ni ugonjwa wa aina gani?

Daktari wa Radio: Hydrocephalus ni ugonjwa wa aina gani?

Hydrocephalus unahatarisha maisha ya wengi hivyo basi leo wataaam na mhanga wa ugonjwa huo wamejuimuika nasi studioni ili kuangazia ugonjwa huu

0
kiico

Inakadiriwa kwamba kuna takriban wazee milioni nane duniani wanaoathirika na shinikizo la kawaida la hydrocephalus yaani (Normal Pressure Hydrocephalus), huku idadi kubwa ikisalia bila kutambuliwa au kunyimwa matibabu wanayohitaji kuokoa maisha.

 

kiico