Home Vipindi Daktari wa Radio: Dalili za Uvimbe wa kizazi na jinsi ya kuutibu

Daktari wa Radio: Dalili za Uvimbe wa kizazi na jinsi ya kuutibu

0

Kwa kipindi fulani katika maisha ya mwanamke huenda akawa na uvimbe katika tumbo ya mtoto au uterus. Wataalam wa afya wanadokeza kuwa ingawa tatizo hilo linaweza kutibiwa, wanawake wanaweza kudhibiti uzani na kuzingatia lishe bora ili kujiepusha na vimbe hizo ambazo wakati mwingine humzuia mwanamke kuwa na mimba.

feedback@kbc.co.ke | Website | + posts