Home Vipindi Daktari wa Radio: Bawasiri au haemorrhoids ni tatizo gani la kiafya?

Daktari wa Radio: Bawasiri au haemorrhoids ni tatizo gani la kiafya?

Ugonjwa wa bawasiri husababisha usumbufu wa kimwili na kisaikolojia na huathiri kwa kiasi kikubwa ubora wa maisha ya wagonjwa kutokana na dalili zake nyeti kama vile kutokwa na damu kwenye sehemu ya choo, maumivu na kuwashwa.

0

feedback@kbc.co.ke | Website | + posts