Home Kimataifa Chipukizi wa Kenya watua kutoka mashindano ya Dunia

Chipukizi wa Kenya watua kutoka mashindano ya Dunia

0
kra

Wanariadha chipukizi wa Kenya wamewasili nchini mapema Alhamisi kutoka mjini Lima, Peru wakikoshiriki mashindano ya Dunia.

Timu hiyo ya wanariadha 19 iliwasili katika angatua ya JKIA saa kumi na mbili asubuhi, na kulakiwa na Mkurugenzi wa Riadha ya chipukizi Barnaba Korir.

kra

Kenya ilimaliza ya tano kwa jumla katika makala ya 20 ya mashindano ya Dunia kwa medali 7,dhahabu 3 fedha 3 na shaba 1.

Sarah Moraa,Andrew Alamisi na Edmund Serem walishinda dhahabu kwa Kenya .

Website | + posts