Channel 1

Serikali yapiga marufuku mitihani ya mwigo

0
Wizara ya Elimu imepiga marufuku mitihani ya mwigo katika shule zote, kama njia moja ya kuzuia vurumai ambazo hushuhudiwa muhula huu wa...

Idadi ya waliofariki kutokana na maandamano ya Jumatano yagonga 17

0
Idadi ya watu waliofariki kutokana na maandamano ya upinzani dhidi ya serikali imefikia 17, baada ya mili mingine minne kupatikana katika kaunti ya Nairobi. Kulingana...

Azimio kufanya maandamano siku tatu mtawalia wiki ijayo, adokeza Seneta Sifuna

0
Seneta wa kaunti ya Nairobi Edwin Sifuna amedokeza kuwa maandamano ya upinzani yatafanyika kwa siku tatu mtawalia wiki ijayo. Maandamano hayo yatafanyika kuanzia Jumatatu...

Mamia ya wasafiri wataabika kufuatia mgomo wa matatu

0
Mamia ya Wakenya walikwama baada ya kukosa usafiri kufuatia mgomo wa wahudumu wa matatu ulioanza katika maeneo mbalimbali kote nchini mapema leo Jumatano. Katika baadhi...

Azimio kufahamisha polisi kuhusu mikutano ya saba saba

0
Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya kupitia kwa mwenyekiti wake Wycliffe Oparanya umesema kwamba utaandikia maafisa wa polisi waraka wa kuwafahamisha kuhusu mikutano...

TSC yatangaza nafasi elfu 20 za walimu wanagenzi

0
Tume ya Kuajiri Walimu Nchini, TSC imetangaza nafasi elfu 20 za walimu wanagenzi katika shule za umma za msingi na sekondari ya chini, JSS.  Kulingana...

Wasichana 5,000 kunufaika na visodo na elimu ya maisha

0
Wasichana 5,000 watanufaika na ufadhili wa  visodo, mafunzo kuhusu kubalehe na ujuzi wa maisha kwa jumla, kufuatia ushirikiano kati ya afisi ya Mke wa...

Wanapatholojia wakamilisha awamu ya tatu ya ukaguzi wa miili Shakahola

0
Kundi la wanapatholojia na majasusi limekamilisha awamu ya tatu ya uchunguzi wa miili ambayo ilifukuliwa kutoka msitu wa Shakahola inayoaminika kuwa ya wafuasi wa...

Katibu Mkuu wa UDA Cleophas Malala kuhudhuria mikutano ya Baraza la Mawaziri

0
Rais William Ruto amemkubalia Katibu Mkuu wa chama cha United Democratic Alliance, UDA Cleophas Malala awe akihudhuria mikutano ya Baraza la Mawaziri. Hatua hii...

Waziri wa Afya Susan Nakhumicha aapa kumaliza ufisadi KEMSA

0
Waziri wa Afya Susan Susan Nakhumicha aameapa kumaliza ufisadi katika shirika la kusambaza dawa na vifaa vya matibabu nchini KEMSA na hazina ya kitaifa...
kiico
0FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe

Recent Posts