Channel 1

Morocco yatangaza kikosi kwa mechi za kufuzu kwa Kombe la Dunia

0
Kocha wa Morocco Walid Regragui ametaja kikosi cha Atlas Lions, kitakachoshiriki mechi mbili za mwezi ujao kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia mwaka...

Anthony Martial athibitisha kuondoka Manchester United

0
Mshambulizi wa Ufaransa Anthony Martial amethibitisha kuwa ataondoka katika klabu ya Manchester United, baada ya kuwachezea kwa miaka tisa. Katika ujumbe alioutuma kupitia ukurasa wake...

Ndoto ya Ingwe kucheza soka ya Afrika yafyatuliwa na Police

0
Matumaini ya Klabu ya AFC Leopards kurejea katika soka ya bara Afrika msimu ujao  yameyeyuka baada, ya kushindwa bao 1-0  na Police FC katika...

Real Valladolid yake Ronaldo yapandishwa ngazi kushiriki La Liga

0
Klabu ya Real Valladolid inayomilikiwa na mshambulizi wa zamani wa Brazil Ronaldo, imefuzu kushiriki Ligi Kuu nchini Uhispania -La Liga, baada ya kuenguliwa msimu...

KCB watinga fainali ya kombe la Mozzart huku nusu fainali kati ya Police FC...

0
Kenya Commercial Bank wamejikatia tiketi kwa fainali ya kombe la Mozzart bet baada ya kuwalemea Kariobangi Sharks magoli 4-2, kupitia matuta ya penati kufuatia...

Omanyala,Moraa na Chepkoech kushiriki Pre Fontaine Classic

0
Bingwa wa Dunia katika mbio za mita 800 Mary Moraa,bingwa wa Jumuiya ya Madola Ferdinand Omanyala na mshikilizi wa rekodi ya dunia ya mita...

Mancity na Man U kukabana koo fainali ya FA

0
Mabingwa watetezi wa kombe la FA na ligi kuu ya Uingereza Manchester City watawakabili mahasimu wao Manchester United leo jioni ugani Wembley kwenye fainali...

Barcelona yampiga kalamu kocha Xavi Hernandez

0
Klabu ya Barcelona imempiga kalamu kocha wake mkuu Xavi Hernandez baada ya kuhudumu kwa kipindi cha miaka mitatu. Aliyekuwa kocha wa Bayern Munich na...

Kocha Firat aelezea sababu ya Harambee Stars kuchezea mechi za nyumbani nchini Malawi

0
Kocha wa timu ya taifa Harambee stars Engin Firat, amesema wamelazimika kuchezea mechi za nyumbani nchini Malawi baada ya Kenya kukosa viwanja vinavyoafiki...

Kenya kuteua kikosi cha Olimpiki cha mita 10,000 katika mashindano ya Pre Fontaine Classic

0
Kenya inatarajiwa kutumia mashindano ya The Prefontaine Classic Diamond League, yatakayoandaliwa nchini Marekani Jumamosi usiku kuchagua washiriki wa mbio za mita 10,000 katika michezo...
kiico
0FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe

Recent Posts