Channel 1

Utawala wa jeshi nchini Burkina Faso waongezwa kwa miaka mitano

0
Serikali ya kijeshi nchini Burkina Faso umejiongezea muda wa kutawala kwa kipindi cha miaka mitano zaidi huku kiongozi wa kijeshi Ibrahim Traoré, akiruhusiwa...

Rais Samia ahimiza wasanii nchini Tanzania kukoma kuzozana

0
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amehimiza wasanii nchini Tanzania kukoma kuzozana na badala yake kushirikiana na kutia bidii katika kazi zao. Akizungumza katika...

Zuma asema Afrika Kusini inamwamini

0
Aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amesema kwamba raia wa nchi hiyo wanamwamini kwa kiwango kikubwa ndiposa aliamua kuwania Urais kwenye uchaguzi mkuu...

Rais wa Chad Idriss Mahamat Deby ala kiapo cha ofisi

0
Rais wa Chad Idriss Mahamat Deby Itno aliapishwa rasmi siku ya Alhamisi, baada ya kushinda uchaguzi mapema mwezi huu kufuatia utawala wa kijeshi...

Ireland, Uhispania na Norway kutambua Palestina kama taifa Mei 28

0
Viongozi wa mataifa ya Uhispania, Norway na Ireland, wametangaza kutambua Palestina kama taifa kwa lengo la kuleta amani baina yake na Israel na mashariki...

Mali: Profesa afungwa jela kwa kukosoa utawala wa kijeshi

Mwanauchumi na profesa maarufu wa Mali amehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela, kwa ukosoaji wake dhidi ya utawala wa kijeshi. √Čtienne Fakaba Sissoko pia aliamriwa...

Mahakama yamzuia Zuma kuwania ubunge

0
Mahakama moja Afrika Kusini, imemuzuia Rais wa zamani wa taifa hilo Jacob Zuma kuwania kiti cha bunge Kwa sababu ya kifungo Cha miezi 15...

Ruto amwomboleza Rais wa Iran Ebrahim Raisi

0
Rais William Ruto amemwomboleza rais wa Iran Ebrahim Raisi aliyefariki katika ajali ya ndege Jumapili. Ruto kupitia mtandao wa X siku ya Jumatatu alimtaja...

Viongozi wamwomboleza Rais wa Iran Ebrahim Raeisi

0
Viongozi kadhaa wa Ulimwengu wametoa risala za rambirambi kufuatia kifo cha Rais wa Iran Ebrahim Raeisi, jumapili jioni baada ya ndege aina ya helikopita ...

Rais wa Iran athibitishwa kufariki kwenye ajali ya ndege

0
Rais wa Iran Ebrahim Raisi amethibitishwa kuangamia kwenye ajali ya ndege aina ya helikopta aliyokuwa ameabiri pamoja na waziri wake wa masuala ya nchi...
kiico
0FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe

Recent Posts