Channel 1

Serikali kukamilisha miradi ya miundombinu iliyokwama

0
Serikali ya kitaifa imejitolea kukamilisha miradi yote ya miundombinu iliyokwama katika eneo la Nyanza, kabla ya kuanzisha mipya katika hatua inayolenga kuchochea ukuaji wa...

Serikali ya kaunti ya Embu kwenda mahakamani kupinga marufuku ya Muguka

0
Serikali ya kaunti ya Embu inapanga kwenda mahakamani kupinga hatua ya serikali za kaunti za Mombasa na Kilifi ya kupiga marufuku uuzaji na matumizi...

Wanaharakati wa haki za binadamu wapongeza marufuku ya Muguka Kilifi

Wanaharakati wa haki za binadamu katika kaunti ya Kilifi wamempongeza Gavana Gideon Mung'aro kwa kupiga marufuku mauzo na matumizi ya Muguka katika kaunti hiyo...

Wakazi wa Machakos wafaidi kutokana na kambi ya matibabu bila malipo

Zaidi ya wakenya alfu tatu walipokea matibabu na vipimo bila malipo katika kaunti ya machakos katika kambi ya matibabu kwa wananchi iliyoandaliwa na kampuni...

Vijana wa ODM kaunti ya Nairobi wawafokea MCAs wake kwa usaliti na...

0
Vijana wa chama cha ODM kaunti ya Nairobi wamewafokea waakilishi wadi wa chama hicho kwa usaliti na kufanya kazi na serikali ya Gavana Johnson...

Kaunti ya Kilifi yapiga marufuku Muguka

0
Gavana wa kaunti ya Kilifi Gideon Mung’aro leo Ijumaa, amepiga marufuku usafirishaji, usambazaji, uuzaji na utumizi wa Muguka katika kaunti hiyo. Gavana huyo ameagiza idara...

Serikali yatoa shilingi bilioni 1.5 kwa makundi ya kijamii katika kaunti 47

0
Serikali ya Kenya kupitia Idara ya Jinsia na tende sawazishi , imetoa shilingi bilioni 1.5 kusaidia makundi mbalimbali ya utekelezaji miradi ya kijamii katika...

Gavana Nassir apiga marufuku uuzaji na matumizi ya muguka Mombasa

0
Gavana wa kaunti ya Mombasa Abdulswamad Nassir amepiga marufuku uuzaji na utumiaji wa muguka na bidhaa zake katika kaunti hiyo. Katika agizo lililotolewa leo Alhamisi,...

Wakongwe wataka pesa wanazopatiwa na serikali ziongezwe

Wakongwe ambao hupokea pesa za matumizi kutoka kwa serikali kila mwezi chini ya mpango wa "Inua Jamii" wameitaka serikali kutafakari kuhusu kuongeza mgao wa...

Polisi ajeruhiwa Kilifi katika vurugu kuhusu mradi wa nyuklia

0
Afisa wa polisi leo Jumatano amepata majeraha madogo baada ya vurugu kuzuka eneo la Uyombo katika Kaunti ya Kilifi. Polisi huyo alijeruhiwa wakati wakazi waliokuwa...
kiico
0FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe

Recent Posts