Channel 1

Watoto wawili wafariki katika mkasa wa moto Kirinyaga

0
Polisi katika kaunti ya kirinyaga wanachunguza kisa cha moto kilichosababisha vifo vya watoto wawili, katika kituo cha biashara cha kagumo kaunti ya Kirinyaga. Mkasa huo...

Serikali kuwatenga fedha wakulima wa miraa na muguka asema Ruto

0
Serikali itatenga shilingi milioni 500 kwa wakulima wa Miraa na Mugukaa katika mwaka wa kifedha 2024/2025, kwa ajili ya kuongeza thamani. Akizungumza katika ikulu baada...

Marufuku ya Muguka Mombasa na Kilifi yabatilishwa na Ruto

0
Rais William Ruto amebatlisha marufuku ya kaunti za Mombasa na Kilifi, dhidi uuzaji na matumizi ya Muguka akisema kuwa kinyume cha katiba kwa hatua...

Walimu wa JSS kuajiriwa kuanzia Julai 1 mwaka huu

0
Walimu wa Junior Secondary School walioajiriwa kwa  mkataba  mfupi Januri mwaka huu, wataajiriwa kwa mkataba wa kudumu kuanzia Julai mosi mwaka huu. Hii ni baada...

Polisi wanasa bangi ya thamani ya shilingi milioni 6.2 Nairobi

0
Maafisa wa Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), wamenasa mifuko 41 ya bangi yenye thamani ya shilingi milioni 6.2 katika mtaa wa...

Wizara ya Kilimo kutoa magunia milioni 12.5 ya mbolea kwa wakulima

0
Serikali imetekeleza kikamilifu mpango wa usambazaji wa mbolea ya gharama nafuu kote nchini, kwa lengo la kuhakikisha taifa hili lina chakula cha kutosha. Akizungumza leo...

NACADA kufunga baa karibu na taasisi za masomo

0
Mamlaka ya kitaifa ya kampeni dhidi ya matumizi ya dawa za kulevya NACADA), imetangaza kuanzisha msako kote nchini unaolenga kufunga baa na maeneo ya...

Ni afueni kwa wanafunzi baada yalishe shuleni kurejeshwa

0
Watoto kutoka familia maskini nchini wana kila sababu ya kutabasamu, baada ya kamati ya elimu ya bunge la kitaifa  kurejesha mpango wa lishe shuleni...

Mfumo wa kununua umeme kabla ya matumizi kutatizwa kwa siku moja

0
Kampuni ya usambazaji umemenchini KPLC, imetangaza kukatiza kwa mfumo wake wa kununua umeme kabla ya matumizi kwa kipindi cha saa 24, ili kuwezesha uboreshaji...

Serikali kukamilisha miradi ya miundombinu iliyokwama

0
Serikali ya kitaifa imejitolea kukamilisha miradi yote ya miundombinu iliyokwama katika eneo la Nyanza, kabla ya kuanzisha mipya katika hatua inayolenga kuchochea ukuaji wa...
kiico
0FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe

Recent Posts