Channel 1

Mfahamu mwamamuziki Pepe Kale

0
Kwa muda mrefu hasa barani Afrika,muziki wa rumba kutoka DRC umevuma kutokana na ladha na miondoko ya wanamitindo wake k.v. Pepe Kalle, François Luambo Luanzo...

Banky W atangaza kwamba amepona saratani

0
Mwanamuziki wa Nigeria Olubankole Wellington maarufu kama Banky W ametangaza kwamba sasa yuko huru kutokana na saratani ya ngozi, kufuatia matibabu ya kiwango cha...

Harmonize kuzindua albamu iitwayo “Muziki wa Samia”

0
Mwanamuziki wa Tanzania Rajab Abdul Kahali, maarufu kama Harmonize ametangaza kwamba atazindua albamu yake ya tano mwezi huu. Albamu hiyo iliyopatiwa jina "Muziki wa Samia"...

P Diddy aomba msamaha kwa kumshambulia Cassie Ventura

0
Mwanamuziki na mtayarishaji wa muziki Sean Combs maarufu kama P Diddy ameomba msamaha kwa kumshambulia aliyekuwa mpenzi wake Cassie Ventura mwaka 2016. Hii ni baada...

Butita amshukuru Rais Ruto kwa fursa

0
Mchekeshaji na mbunifu Eddie Butita amemshukuru Rais William Ruto kwa kumtunukia fursa ya kuandamana naye katika ziara yake ya Marekani. Butita alichapisha picha kwenye akaunti...

Babake Nakaaya afariki

0
Mwanamuziki wa asili ya Tanzania Nakaaya Sumari anaomboleza kifo cha babake mzazi ambacho kilitokea jana Jumapili Mei 12, 2024. Mzee Abraham Edward Sumari anaripotiwa...

Mipango ya mazishi ya Junior Pope yatangazwa

0
Familia ya mwigizaji wa Nigeria Johnpaul Obumneme Odonwodo, maarufu kama Junior Pope imetangaza mipango ya mazishi yake kupitia kwa bango lililosambazwa mitandaoni. Marehemu Pope ataagwa...

Christina Shusho atoa taarifa kuhusu yanayoendelea

0
Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Tanzania Christina Shusho amevunja kimya chake kuhusu video ambazo zimekuwa zikisambazwa ambapo anaonekana akizungumza kuhusu ndoa yake kwenye...

Gigy Money afungulia umma maisha yake

0
Mwanamuziki wa Tanzania Gigy Money ameamua kufungulia umma maisha yake kupitia kwa onyesho la matukio halisi kumhusu kwenye runinga ya Zamaradi. Onyesho hilo lilizinduliwa rasmi...

Mwigizaji Sarah Hassan azinduliwa balozi wa Dettol

0
Mwigizaji Saraha Hassan ametangazwa kuwa balozi wa bidhaa za usafi za Dettol, maarufu kama Dettol Skincare. Mwingizaji huyo ambaye ameshinda tuzo kadhaa zikiwemo mwigizaji bora...
kiico
0FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe

Recent Posts