Channel 1

Rais Ruto kufungua kongamano la uwekezaji Nyanza

0
Rais William Ruto anatarajiwa kufungua rasmi kongamano la kimataifa la uwekezaji la eneo la Nyanza mwezi ujao, haya ni kulingana na waziri wa mawasiliano...

Safaricom yazindua awamu ya pili ya ushirikiano wa kukuza biashara za maonyesho

0
Takriban wamiliki 100 wa biashara za maonyesho  wamenufaika katika  awamu ya pili ya mradi wa kuongeza  tija za biashara kutoka kwa kampuni ya Safaricom...

Coca-Cola yahakikisha uwekezaji nchini Kenya

0
Kampuni ya Coca-Cola imetangaza nia yake ya kukuza uwekezaji wake nchini Kenya kwa hadi bilioni 23 (dola milioni 175) katika kipindi cha miaka mitano...

Kenya yalenga masoko 13 mapya ya Majani chai ughaibuni

0
Serikali inalenga kuzalisha majani chai yaliyoongezwa thamani, huku ikiweka mkakati wa miaka mitano wa kupanua masoko, ikilenga masoko 13 mapya ughaibuni. Waziri wa kilimo na...

KQ yaomba radhi kufuatia kucheleweshwa kwa safari kadhaa

0
Kampuni ya usafiri wa ndege ya Kenya Airways - KQ imetoa taarifa ya kuomba radhi wateja wake ambao safari zao zimecheleweshwa au kuvurugwa kwa...

Benki ya Equity yanakili faida ya asilimia 25 katika robo ya kwanza ya mwaka

0
Benki ya Equity imetangaza faida ya shilingi bilioni 16 ikiwa ongezeko la faida ya shilingi bilioni 12.8, katika robo ya kwanza ya mwaka uliopita. Afisa...

Wakulima wa Majani chai kunufaika na mapato yaliyoimarika

0
Wakulima wa majani chai hapa nchini wanasababu ya kutabasamu, kwa kuwa mapato yao yataimarika kufuatia mkataba kati ya Kenya na kampuni ya Liptons Teas...

Shirika la reli larejelea uchukuzi wa abiria Jijini Nairobi

0
Shirika la reli nchini limetangaza kurejelewa kwa shughuli zake za uchukuzi katika baadhi ya maeneo Jijini Nairobi. Kupitia kwa taarika katika mtandao wake wa X...

Wafanyakazi wawili wa KQ waliokuwa wakizuiliwa DRC waachiliwa huru

0
Shirika la ndege la Kenya Airways KQ, limetangaza kuachiliwa huru kwa wafanyakazi wake wawili, waliokuwa wakizuiliwa katika Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC. Kupitia kwa...

Mbuga ya Maasai Mara yaathiriwa na mafuriko

0
Mvua kubwa ambayo inashuhudiwa nchini Kenya, imesababisha kufurika kwa mbuga ya Maasai Mara baada ya mto Telek kuvunja kingo zake. Mahoteli kadhaa ya watalii katika...
kiico
0FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe

Recent Posts