Home Michezo Bundesliga na Serie A kupata nafasi tano za ligi ya Mabingwa huku...

Bundesliga na Serie A kupata nafasi tano za ligi ya Mabingwa huku Uingereza ikipata 4

0

Ligi Kuu Uingereza imepoteza nafasi moja ya kushiriki Ligi ya Mabingwa barani Ulaya msimu ujao kwa ligi za Ujerumani,Bundesliga na ile ya talia Serie A.

Uingereza imepokonywa nafasi hiyo moja kutokana na vilabu vayke kusajili matokeo duni katika mashindano ya msimu huu wa Ligi ya mabingwa Ulaya.

Mashindano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya yatajumuisha timu 36 kutoka 32 za sasa.

UEFA hutumia uoredheshaji wa ligi za Ulaya kubaini idadi ya washiriki kutoka kila ligi.

Website | + posts