Katika makala ya Biashara wiki hii tumekuandalia mengi ikiwemo ; Rais William Ruto aidhinisha Mswada wa Ugavi wa Nyongeza kwa bajeti ya mwaka 2023 huku pia bajeti ya maendeleo ikipunguzwa kwa zaidi ya shilingi bilioni ishirini na nne
Na Katika maswala ya uvumbuzi na teknolojia, je teknolojia imeimarishaje ukalimani wa lugha, kwa haya na mengi, Ripota wetu Austin Mirambo anatupasha yaliyojiri katika ulimwengu wa Biashara.