Home Biashara Bandari ya Kenya yaorodheshwa bora Afrika Mashariki

Bandari ya Kenya yaorodheshwa bora Afrika Mashariki

0
kra

Bandari ya Mombasa ndiyo bora katika ukanda wa Afrika Mashariki katika uorodheshaji wa hivi punde wa Benki ya Dunia.

Kulingana na uorodheshaji huo, bandari hiyo imeipiku ile ya Djibouti ambayo inakabiliwa na changamoto nyingi.

kra

Bandari ya Mombasa inashikilia nafasi ya 328, ikifuatwa na ile ya Dar es Salaam iliyoshuka kwa nafasi 55 hadi nambari 367 nayo ya Djibouti imedorora kwa nafasi 26 hadi nambari 379.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here