Home Habari Kuu Balozi wa Kenya nchini Uingereza Manoah Esipisu atuzwa

Balozi wa Kenya nchini Uingereza Manoah Esipisu atuzwa

0

Balozi wa Kenya nchini Uingereza Manoah Esipisu amepokea tuzo ya balozi bora wa mwaka 2024 kutoka Afrika.

Esipisu alituzwa pamoja na mabolizi wengine maarufu tisa wanaohudumu nchini uingereza.

Tuzo hizo zilizoandaliwa jijini London Jumatatu usiku zilihudhuriwa na waakishi wa nchini zaidi ya 70 na wanadiplomasia kutoka zaidi ya ataifa 90.

Tuzo hiyo hutambua utendakazi wa mabaolizi katika jamii katika harakati za kuwakisha nchini zao.

Esipisu aliteuliwa kuwa balozi wa Kenya nchini Uingereza na Rais mstaafu Uhuru Kenyatta.

Website | + posts