Home Authors Posts by Tom Mathinji

Tom Mathinji

Tom Mathinji
1336 POSTS 0 COMMENTS

Rais Zelensky kukutana na Chansela wa Ujerumani Ijumaa

0
Chansela wa Ujerumani Olaf Scholz na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky, watashiriki mazungumzo Ijumaa Jijini Frankfurt, haya ni kulingana msemaji wa serikali ya Ujerumani. Mkutano...

DRC yapokea awamu ya kwanza ya chanjo ya Mpox

0
Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, imepokea awamu ya kwanza ya chanjo za kukabiliana na ugonjwa wa Mpox. DRC ambayo ndio chimbuko la ugonjwa wa...

Wakfu wa M-pesa kulipa KRA shilingi milioni 6.5

0
Wakfu wa M-Pesa utailipa halmashauri ya kukusanya ushuru nchini KRA, malimbikizi ya ushuru ambayo ni jumla ya shilingi milioni 6.5. Hii inafuatia uamuzi uliotolewa na...

China yatakiwa kuimarisha ushirikiano wake na Afrika

0
Rais William Ruto, ametoa wito kwa China iimarishe ushirikiano baina yake na mataifa ya Afrika, kwa kusaidia mataifa hayo kupata ufadhili wa masharti nafuu...

Mwanariadha wa Uganda Rebecca Cheptegie amefariki

0
Mwanariadha wa Uganda  Rebecca Cheptegie, aliyekuwa akipokea matibabu nchini Kenya baada ya kuchomwa moto na mpenzi wake, ameaga dunia. Kupitia mtandao wa X Alhamisi alfajiri,...

Kipsang: Marufuku dhidi ya mikutano shuleni muhula wa tatu yangalipo

0
Wizara ya elimu imekariri agizo lake la kupiga marufuku shughuli za ziada katika muhula huu wa tatu wa kalenda ya masomo. Katibu wa elimu ya...

Kevin Kang’ethe akanusha mashtaka ya mauaji

0
Mshukiwa wa mauaji Kevin Kang’ethe, aliyesafirishwa kutoka Kenya kuelekea Marekani siku ya Jumapili, amenyimwa dhamana baada ya kukanusha mashtaka ya mauaji dhidi yake. Kang'ethe anadaiwa...

Samson Opiyo ashindia Kenya nishani ya Fedha

0
Samson Opiyo aliishindia Kenya nishani ya kwanza kwenye michezo ya Olimpiki ya walemavu mjini Paris, baada ya kunyakua nishani ya fedha katika shindano la...

Waziri Duale kuhudhuria mkutano kuhusu Mazingira Ivory Coast

0
Waziri wa mazingira Aden Duale, Jumatano asubuhi aliondoka hapa nchini kuelekea Abidjan, Ivory Coast, kuiwakilisha Kenya kwa kongamano la 10 la Mawaziri kuhusu Mazingira...

Mwanariadha wa Uganda Rebecca Cheptegie ashambuliwa na mpenziwe

0
Mwanariadha wa Uganda  Rebecca Cheptegie, amelazwa hospitalini nchini Kenya baada ya kuchomwa moto na mpenzi wake, kulingana na maafisa wa polisi. Cheptegie, aliyeshiriki mashindano yal...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS