Tom Mathinji
Watu 8 wauawa kufuatia mzozo wa ardhi Tana River
Watu wanane wameuawa katika kaunto ndogo ya Bangala, kaunti ya Tana River kufuatia mzozo wa ardhi.
Mauaji hayo ambayo yamesababisha hofu kubwa miongoni mwa wakazi...
Mwanariadha mstaafu Samson Kandie auawa nyumbani kwake
Maafisa wa polisi wanachunguza kifo cha mwanariadha mstaafu Samson Kandie, aliyeuawa na watu wasiojulikana nyumbani kwake kaunti ya Uasin Gishu.
Kulingana na Kamanda wa polisi...
Watu 70 wauawa na wavamizi nchini Haiti
Takribani watu 70 wakiwemo watoto wameuawa baada ya genge moja kuvamia mji mdogo nchini Haiti.
Aidha watu 16 walijeruhiwa vibaya kulingana na habari za...
Watahiniwa milioni 2 kufanya mitihani ya kitaifa mwaka huu
Wizara ya elimu imezindua rasmi kipindi cha mitihani ya kitaifa mwaka huu, ikisema kuwa jumla ya watahiniwa 2,279,414 watafanya mitihani hiyo.
Kulingana na wizara hiyo...
Matabibu Baringo wazindua uhamasisho kuhusu afya ya akili
Huku ulimwengu unapojiandaa kuadhimisha siku ya kimataifa kuhusu afya ya akili mnamo tarehe 10 mwezi huu, kundi moja la wataaalam wa matibabu katika kaunti...
KEMRI yazindua maabara kuchunguza virusi vya Marbug
Taasisi ya utafiti wa kimatibabu nchini (KEMRI) imetangaza kwamba imeandaa maabara maalum kote nchini kufuatia chamko la ugonjwa wa virusi vya Marburg (MVD) nchini...
Idadi jumla ya visa vya Mpox hapa nchini yafika 12
Visa viwili zaidi vya ugonjwa wa Mpox, vimethibitishwa hapa nchni katika muda wa saa 24 zilizopita, huku idadi jumla ya visa hivyo ikifika 12.
Kupitia...
Mudavadi: Wanawake ni nguzo muhimu katika juhudi za kuleta amani
Serikali imepongeza juhudi zinazotekelezwa na wanawake katika kuzuia mizozo kwa ustawi wa taifa hili.
Waziri mwenye Mamlaka Makuu Musalia Mudavadi, amesema ipo haja ya kusikiza...
Hoja ya kumbandua Gachagua: Vikao vya kukusanya maoni kuendelea kwa siku...
Bunge la kitaifa limeongeza siku moja zaidi kwa vikao vinavyoendelea vya ushirikishwaji umma kuhusu kung’atuliwa mamlakani kwa naibu rais Rigathi Gachagua.
Kupitia kwa taarifa...
Mtoto Pendo: Mahakama yatoa amri ya kukamatwa kwa afisa wa polisi
Mahakama Kuu imetoa agizo la kukamatwa kwa afisa wa cheo cha juu wa polisi, Mohammed Baa, aliyehusishwa na kifo cha mtoto Pendo mwaka 2017.
Agizo...