Home Authors Posts by Tom Mathinji

Tom Mathinji

Tom Mathinji
1318 POSTS 0 COMMENTS

Abiria afariki baada ya magari mawili kushambuliwa Moyale

0
Mtu mmoja amefariki na wengine watatu kujeruhiwa vibaya baada ya basi walimokuwa wakisafiria kushambuliwa na watu wasiojulikana.  Basi la kampuni ya Salama lilikuwa likisafiri kutoka...

Rais Ruto awasili China kwa mkutano wa FOCAC

0
Rais William Ruto na aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga wako jijini Beijing, China kuhudhuria kongamano la ushirikiano baina ya China na bara Afrika. Viongozi...

Sakaja apuuzilia mbali madai ya kumbandua mamlakani

0
Gavana wa kaunti ya Nairobi Johnson Sakaja, amepuuzilia mbali madai kwamba kuna njama ya kumbandua mamlakani. Sakaja alisema huo ni uvumi na kwamba serikali yake...

Waathiriwa wa mradi wa eneo la kiuchumi la Dongo Kundu kufidiwa

0
Waziri wa biashara na ustawi wa viwanda Salim Mvurya, amesema shilingi bilioni1.4 zimetengwa kuharakisha shughuli ya kuwafidia watu walioathirika kutokana na ujenzi wa eneo...

Jeshi la Ulinzi la Tanzania laadhimisha miaka 60

0
Jeshi la ulinzi la Jamuhuri ya Tanzania, leo Jumapili liliadhimisha miaka 60, tangu kubuniwa kwake Septemba 1, 1964. Sherehe hiyo iliandaliwa katika uwanja wa Uhuru...

Mawaziri watatu wa kaunti ya Bomet wafurushwa

0
Wawakilishi wadi wa kaunti ya Bomet Ijumaa jioni, waliwatimua mawaziri watatu wa kaunti hiyo kwa madai ya utepetevu kazini. Waziri wa Fedha Andrew Sigei, mwenzake...

Dorcas: Wajane wanapaswa kuwezeshwa kiuchumi

0
Ipo haja ya kuwawezesha wajanae kiuchumi hapa nchini, ili wajimudu pamoja na familia zao, haya ni kwa mujibu wa mkewe wa naibu Rais Dorcas...

Vijana wahimizwa kutumia mitandao kujipatia riziki

0
Mkewe waziri mwenye mamlaka makuu Tessie Mudavadi, ametoa wito kwa vijana hapa nchini kutumia ipasavyo majukwaa ya mitandao kufanya shughuli za kibiashara, kubuni nafasi...

Chama cha KUPPET kimesema kitaendelea na mgomo

0
Chama cha walimu cha -KUPPET kimesisitiza kuwa kitaendelea na mgomo hadi tume ya kuwaajiri walimu TSC ikubali kuafikia matakwa yao ya kabla ya kurejea...

Sehemu kadhaa za nchi zakosa nguvu za umeme

0
Sehemu kadhaa za hapa nchini zimeghubikwa na giza totoro, kutokana na  kupotea kwa nguvu za umeme, Ijumaa usiku  Kampuni ya usambazaji nguvu za umeme KPLC, ...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS