Tom Mathinji
Abiria afariki baada ya magari mawili kushambuliwa Moyale
Mtu mmoja amefariki na wengine watatu kujeruhiwa vibaya baada ya basi walimokuwa wakisafiria kushambuliwa na watu wasiojulikana.
Basi la kampuni ya Salama lilikuwa likisafiri kutoka...
Rais Ruto awasili China kwa mkutano wa FOCAC
Rais William Ruto na aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga wako jijini Beijing, China kuhudhuria kongamano la ushirikiano baina ya China na bara Afrika.
Viongozi...
Sakaja apuuzilia mbali madai ya kumbandua mamlakani
Gavana wa kaunti ya Nairobi Johnson Sakaja, amepuuzilia mbali madai kwamba kuna njama ya kumbandua mamlakani.
Sakaja alisema huo ni uvumi na kwamba serikali yake...
Waathiriwa wa mradi wa eneo la kiuchumi la Dongo Kundu kufidiwa
Waziri wa biashara na ustawi wa viwanda Salim Mvurya, amesema shilingi bilioni1.4 zimetengwa kuharakisha shughuli ya kuwafidia watu walioathirika kutokana na ujenzi wa eneo...
Jeshi la Ulinzi la Tanzania laadhimisha miaka 60
Jeshi la ulinzi la Jamuhuri ya Tanzania, leo Jumapili liliadhimisha miaka 60, tangu kubuniwa kwake Septemba 1, 1964.
Sherehe hiyo iliandaliwa katika uwanja wa Uhuru...
Mawaziri watatu wa kaunti ya Bomet wafurushwa
Wawakilishi wadi wa kaunti ya Bomet Ijumaa jioni, waliwatimua mawaziri watatu wa kaunti hiyo kwa madai ya utepetevu kazini.
Waziri wa Fedha Andrew Sigei, mwenzake...
Dorcas: Wajane wanapaswa kuwezeshwa kiuchumi
Ipo haja ya kuwawezesha wajanae kiuchumi hapa nchini, ili wajimudu pamoja na familia zao, haya ni kwa mujibu wa mkewe wa naibu Rais Dorcas...
Vijana wahimizwa kutumia mitandao kujipatia riziki
Mkewe waziri mwenye mamlaka makuu Tessie Mudavadi, ametoa wito kwa vijana hapa nchini kutumia ipasavyo majukwaa ya mitandao kufanya shughuli za kibiashara, kubuni nafasi...
Chama cha KUPPET kimesema kitaendelea na mgomo
Chama cha walimu cha -KUPPET kimesisitiza kuwa kitaendelea na mgomo hadi tume ya kuwaajiri walimu TSC ikubali kuafikia matakwa yao ya kabla ya kurejea...
Sehemu kadhaa za nchi zakosa nguvu za umeme
Sehemu kadhaa za hapa nchini zimeghubikwa na giza totoro, kutokana na kupotea kwa nguvu za umeme, Ijumaa usiku
Kampuni ya usambazaji nguvu za umeme KPLC, ...