Tom Mathinji
Naibu Rais Prof. Kithure Kindiki aelekea Botswana kwa ziara rasmi
Naibu Rais Prof. Kithure Kindiki ameondoka hapa nchini kuelekea nchini Botswamna kuhudhuria sherehe ya kuapishwa kwa Rais Duma Boko aliyeibuka mshindi katika Uchaguzi Mkuu...
Bangi ya thamani ya shilingi milioni 12 yateketezwa Marsabit
Serikali ya kaunti ya Marsabit imeteketeza kilo 521 za bangi ya thamani ya shilingi milioni 12, katika juhudi za kuimarisha vita dhidi ya ulanguzi...
Mshukiwa wa ujambazi akamatwa kaunti ya Kakamega
Maafisa wa polisi kaunti ya Kakamega wamemkamata mshukiwa wa ujambazi Jackson Mwangi Wangechi, mwenye umri wa miaka 38, ambaye alipataka na silaha baada ya...
Kamati ya bunge yaidhinisha nyongeza ya ushuru wa barabara
Kamati ya bunge la taifa kuhusu maswala ya sheria inayoongozwa na Samuel Chepkong'a ambaye ni mbunge wa Ainabkoi, imeidhinisha kuongezwa kwa ushuru wa barabara.
Wanachama...
Bunge lapinga pendekezo la kugawa upya fedha zilizotengewa EPZA
Wanachama wa kamati ya bunge la taifa kuhusu biashara, viwanda na vyama vya ushirika, wamekatalia mbali mpango wa idara ya uwekezaji kugawa upya shilingi...
Kaunti ya Turkana yajizatiti kuhakikisha upatikanaji maji safi
Serikali ya kaunti ya Turkana kwa ushirikiano na Millennium Water Alliance na mpango wa DRIP FUNDI, zimeanzisha mpango wa kuhakikisha upatikanaji wa maji safi...
Waziri Duale azindua mradi wa kuhifadhi msitu wa Mlima Elgon
Waziri wa mazingira, Mabadiliko ya Tabia Nchi na misitu Aden Duale, Leo Alhamisi, amezindua mradi wa shilingi Milioni 620 wa kuhifafhi msitu wa Mlima...
Kenya ni salama, asema Naibu Rais Kithure Kindiki
Naibu Rais Kithure Kindiki amesema nchi iko salama chini ya serikali ya Kenya Kwanza.
Akizungumza na wanahabari katika jumba la Harambee Annex jijini Nairobi, Kindiki...
Mkurugenzi Mkuu wa KAA atozwa faini ya shilingi 500,000
Bunge la taifa limemtoza faini ya shilingi 500,000 Mkurugenzi Mkuu wa halmashauri ya kusimamia viwanja vya ndege nchini KAA Henry Ogoye, kwa kukosa kufika...
Wafanyabiashara zaidi ya 1,000 waingia soko jipya la Githurai
Wafanyabiashara zaidiya 1,000 katika soko la Githurai 45, kaunti ndogo ya Ruiru kaunti ya Kiambu, hatimaye wameingia katika soko jipya la Githurai.
Hafla hiyo iliongozwa...