Tom Mathinji
Raia 8 wa kigeni wakamatwa Trans Nzoia
Raia 8 wa kigeni wamekatwa na maafisa wa upelelezi wa makosa ya jinai mjini Kitale kaunti ya Trans Nzoia.
Washukiwa hao wanaojumuisha raia wa Somalia...
Wataalam wapelekwa Hilliside Academy kuchunguza chanzo cha moto
Naibu Rais Rigathi Gachagua amesema kikosi cha maafisa wa upelelezi kimebuniwa na kupelekwa katika shule ya Hillside Endarasha kaunti ya Nyeri, kuchunguza chanzo cha...
Wanafunzi 70 wa shule ya Hillside Endarasha hawajulikani waliko
Wanafunzi 70 wa shule ya Hillside Endarasha kaunti ya Nyeri, hawajulikani waliko baada ya moto kuteketeza moja ya mabweni ya shule hiyo na kusababisha...
Serikali yatangaza siku 3 kuomboleza wanafunzi wa Hillside
Rais William Ruto ametangaza siku tatu za kitaifa kuwaomboleza wanafunzi 18 wa shule ya Hillside Endarasha Nyeri, waliofariki katika mkasa wa moto.
Kupitia kwa taarifa...
Nitawashtaki Polisi, asema Bobi Wine
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Bobi Wine, leo Ijumaa amesema chama chake kitashtaki idara ya polisi, baada ya kujeruhiwa katika makabiliano na maafisa hao...
Naibu Gavana wa Lamu Raphael Munyua Ndung’u amefariki
Naibu Gavana wa kaunti ya Lamu Raphael Munyua Ndung’u, amefariki.
Kupitia mtandao wa X, Rais William Ruto amemuomboleza naibu huyo Gavana, akimtaja kiongozi aliyejitolea kuwahudumia...
Wandayi: Wakenya watapata umeme wa gharama nafuu
Serikali inalenga kuimarisha mikakati yake ya kuhakikisha wakenya wanapata nguvu za umeme za kutegemewa, za kutosha na za bei nafuu, ili kuchochea ukuaji wa...
Justice Mrima achaguliwa kuwa mwanachama wa JSC
Justice Antony Mrima, amechaguliwa kuwa mwanachama wa tume ya kuwaajiri wahudumu wa idara ya mahakama nchini, JSC.
Sasa Jaji huyo sasa atawakilisha chama cha Majaji...
Wanafunzi 16 wa shule ya Hillside Endarasha wafariki katika mkasa wa moto
Takriban wanafunzi 16 wameripotiwa kufariki baada ya moto kuteketeza moja ya mabweni katika shule ya Hillside Endarasha katika Kaunti ya Nyeri.
Vyanzo vya habari vinaonyesha kuwa wanafunzi...
OPEC: Muda wa kupunguza usambazaji mafuta kuongezwa
Nchi nane wanachama wa mataifa yanayozalisha mafuta, leo Alhamisi zimekubaliana kuongeza muda uliopo wa kupunguza usambazaji wa bidhaa za mafuta hadi mwishoni mwa mwezi...