Home Authors Posts by Tom Mathinji

Tom Mathinji

Tom Mathinji
1464 POSTS 0 COMMENTS

Rais Ruto: Wakenya zaidi watapata ajira nchini Qatar

0
Rais William Ruto amesema kuwa Wakenya zaidi watapat fursa ya kufanya kazi nchini Qatar, punde tu mkataba wa maelewano kati ya nchi hizo mbili...

Gachagua akanusha madai ya kuwachochea wafanyabiashara Nairobi

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua amejitetea dhidi ya madai kwamba aliingilia uongozi wa serikali ya kaunti ya Nairobi, kwa kuwachochea wafanyabiashara dhidi ya maagizo yaliyotolewa...

Kosa langu kuu ni kuwa msema ukweli, asema Gachagua

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua, amedokeza kuwa masaibu yanayomkumba ya kutaka aondolewe mamlakani, yanatokana na hulka yake ya kuwa msema ukweli. Akihutubia taifa Jumatatu usiku katika...

Naibu Rais Rigathi Gachagua kuhutubia taifa Jumatatu usiku

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua, anatarajiwa kuhutubia taifa leo Jumatatu saa moja usiku. Hotuba hiyo ya Gachagua itajiri saa chache baada ya Mahakama Kuu kukataa kusimamisha...

Mahakama Kuu yakataa kusimamisha mchakato wa kumtimua Gachagua

0
Mahakama Kuu hapa nchini imekataa kwa mara ya pili kutoa maagizo ya kusimamisha mchakato unaotekelezwa na bunge la taifa, wa kumtimua Naibu Rais Rigathi...

Idadi ya maafa kutokana na uja uzito yaongezeka Migori

0
Takriban wanawake 50 hufariki kila mwaka kutokana na changamoto za uja uzito katika kaunti ya Migori, hayo ni kulingana na mtaalam wa uzazi Dkt...

Serikali kukabiliana na tatizo la uvujaji damu kwa wingi baada ya...

0
Waziri wa afya Debora Barasa ametoa wito wa kutekelezwa juhudi za kukabiliana na tatizo la kuvuja damu kwa wingi baada ya kujifungua miongoni mwa...

Gachagua: Mchakato wa kisiasa haupaswi kuvuruga amani na umoja

0
Huku bunge likiendeleza mchakato wa kumbandua Naibu Rais Rigathi Gachagua mamlakani,  Gachagua ametoa wito kwa Wakenya kudumisha amani na umoja. Gachagua amesema mchakato wa kisiasa...

Mahakimu 100 wateuliwa kushugulikia kesi za ufisadi na uhalifu wa uchumi

0
Katika juhudi za kuhakikisha ufanisi wa mahakama wa ushughulikiaji kesi, Jaji Mkuu Martha Koome amewateua mahakimu 100 watakaoshughulikia kesi za ufisadi na uhalifu wa...

Mudavadi: Kenya itaendelea kukuza uhusiano wake na Serbia

0
Waziri mwenye Mamlaka Makuu aliye pia waziri wa Mambo ya Nje Musalia Mudavadi, leo Jumamosi alikuwa mwenyeji wa Mama wa taifa wa Serbia Tamara...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS