Tom Mathinji
Wafanyakazi 20,000 zaidi wamesajiliwa kwa SHA
Taasisi za afya 4,760 za serikali, 2,498 za kibinafsi, 1,442 za kidini, 17 za jamii na zingine 86 kote nchini zimesajiliwa katika halmashauri ya...
Kipsang’: Usalama umeimarishwa katika kipindi cha mitihani ya KCSE
Katibu katika idara ya elimu ya msingi Dkt. Belio Kipsang', amewahakikishia watahiniwa kote nchini usalama wao, wanapofanya mtihani wa kidato cha nne KCSE.
Kulingana na...
Kenya Prisons ndio mabingwa wa shindano la Mwalimu Kahiga
Timu ya mpira wa wavu ya Kenya Prisons ndio mabingwa wa mashindano ya mpira wa wavu ya Gavana Mwalimu Kahiga, baada ya kuilaza Kenya...
Israel yaanzisha mashambulizi ya ardhini Syria
Israel Jumapili imesema imeanzisha uvamizi wa ardhini Syria, kushikilia kile kilichoelezwa na Syria kujihusisha na mitandao ya Iran inayowasaidia wanamgambo katika eneo hilo.
Uvamizi wa...
Awamu ya pili ya mtihani wa KCSE yaanza leo Jumatatu
Watahiniwa 965,501 wa mtihani wa kitaifa KCSE, leo Jumatatu wameanza awamu ya pili ya mtihani huo ambao ni mtihani wa kuandika.
Katibu katika wizara ya...
Sakaja alaani visa vya mauaji ya wanawake
Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja, amewataka viongozi wanaume kupinga visa vya mauaji ya wanawake, akidokeza kuwa ongezeko la visa hivyo linaibua wasiwasi hapa nchini.
Akizungumza...
Mshukiwa wa mauaji ya watu watatu wa familia moja akamatwa
Mshukiwa mkuu wa mauaji ya kiikatili dhidi ya watu watatu wa familia moja katika mtaa wa Eastleigh Jijini Nairobi amekamatwa.
Hashim Dagane Muhumed, mwenye umri...
Kamati ya bunge kuhusu ulinzi yazuru taasisi za KDF Uasin Gishu
Kamati ya bunge la taifa kuhusu ulinzi, ujasusi na Mambo ya Nje, leo ilizuru taasisi kadhaa zinazoendeshwa na vikosi vya ulinzi katika kaunti ya...
Spika Wetang’ula amuomboleza mbunge wa zamani Oloo Aringo
Spika wa bunge la taifa Moses Masika Wetang'ula, leo Jumamosi amewaongoza wabunge kumuomboleza waziri wa zamani na aliyekuwa mbunge wa Alego Usonga Peter Castro...
Mauritius yafunga Mitandao ya Kijamii
Mauritius imefunga mitandao yote ya kijamii nchini humo, hadi Novemba 11,2024 wakati Uchaguzi Mkuu utakapokamilika.
Hatua hiyo ya siku ya Ijumaa ilijiri huku kukiwa na...