Tom Mathinji
Waziri Duale kuhudhuria mkutano kuhusu Mazingira Ivory Coast
Waziri wa mazingira Aden Duale, Jumatano asubuhi aliondoka hapa nchini kuelekea Abidjan, Ivory Coast, kuiwakilisha Kenya kwa kongamano la 10 la Mawaziri kuhusu Mazingira...
Mwanariadha wa Uganda Rebecca Cheptegie ashambuliwa na mpenziwe
Mwanariadha wa Uganda Rebecca Cheptegie, amelazwa hospitalini nchini Kenya baada ya kuchomwa moto na mpenzi wake, kulingana na maafisa wa polisi.
Cheptegie, aliyeshiriki mashindano yal...
Shirika la Msalaba Mwekundu na kaunti ya Busia zashirikiana kukabiliana na...
Shirika la Msalaba Mwekundu, limetia saini mkataba wa maelewano na serikali ya kaunti ya Busia, kuimarisha uwezo wa kaunti hiyo katika kukabiliana na majanga.
Maswala...
Washukiwa wa ulanguzi wa mihadarati wakamatwa
Maafisa wa polisi wamewakamata walanguzi wa mihadarati, huku wakiimarisha vita dhidi ya ulanguzi wa dawa za kulevya kote nchini.
Katika matukio ya hivi punde, maafisa...
Wizara ya Afya mbioni kuepusha mgomo wa Madaktari
Wizara ya afya itashirikiana kwa karibu na baraza la magavana nchini, kuepusha mgomo wa madaktari hata ingawa wanatishia kugoma tena ikiwa mkataba wa makubaliano uliotiwa saini...
Kamati ya bunge kuhusu ulinzi yapokea malalamishi dhidi ya wanajeshi wa...
Kamati ya bunge kuhusu ulinzi, ujasusi na mambo ya nje, imeimarisha uchunguzi wake dhidi ya madai ya kikosi cha wanajeshi wa Uingereza wanaofanya mazoezi...
Familia ya Agnes Wanjiru aliyeuawa yaendelea kutafuta haki
Familia ya marehemu Agnes Wanjiru, aliyeuawa na mwanajeshi wa Uingereza mwaka 2012, inaendelea kutafuta haki, huku kamati ya bunge kuhusu ulinzi, ujasusi na uhusiano...
Kenya yajiunga na benki ya uwekezaji ya Asia AIIB
Kenya imejiunga rasmi na benki ya uwekezaji na ustawishaji miundombinu ya Asia (AIIB), baada ya kulipa ada zote zinazohitajika kujiunga na benki hiyo.
Hayo yalitangazwa...
Watu 9 wafariki kwenye ajali ya barabarani Londiani
Takriban watu 9 wamefariki na wengine watatu kujeruhiwa vibaya baada ya matatu walimokuwa wakisafiria kuhusika kwenye ajali ya barabarani, katika eneo la Kisumu ndogo...
Kenya na China zaimarisha uhusiano wa kidiplomasia
Rais William Ruto amesema uhusiano baina ya Kenya na China ni imara, na ambao umebadilisha miundombinu ya barabara, reli na bandari za hapa nchini.
Rais...