Home Authors Posts by Tom Mathinji

Tom Mathinji

Tom Mathinji
1453 POSTS 0 COMMENTS

Mwanariadha mstaafu Samson Kandie auawa nyumbani kwake

0
Maafisa wa polisi wanachunguza kifo cha mwanariadha mstaafu Samson Kandie, aliyeuawa na watu wasiojulikana nyumbani kwake kaunti ya Uasin Gishu.  Kulingana na Kamanda wa polisi...

Watu 70 wauawa na wavamizi nchini Haiti

0
Takribani watu 70 wakiwemo watoto wameuawa baada ya genge moja kuvamia mji mdogo nchini Haiti. Aidha watu 16 walijeruhiwa vibaya kulingana na habari za...

Watahiniwa milioni 2 kufanya mitihani ya kitaifa mwaka huu

0
Wizara ya elimu imezindua rasmi kipindi cha mitihani ya kitaifa mwaka huu, ikisema kuwa jumla ya watahiniwa 2,279,414  watafanya mitihani hiyo. Kulingana na wizara hiyo...

Matabibu Baringo wazindua uhamasisho kuhusu afya ya akili

0
Huku ulimwengu unapojiandaa kuadhimisha siku ya kimataifa kuhusu afya ya akili mnamo tarehe 10 mwezi huu, kundi moja la wataaalam wa matibabu katika kaunti...

KEMRI yazindua maabara kuchunguza virusi vya Marbug

0
Taasisi ya utafiti wa kimatibabu nchini (KEMRI) imetangaza kwamba imeandaa maabara maalum kote nchini kufuatia chamko la ugonjwa wa virusi vya Marburg (MVD) nchini...

Idadi jumla ya visa vya Mpox hapa nchini yafika 12

0
Visa viwili zaidi vya ugonjwa wa Mpox, vimethibitishwa hapa nchni katika muda wa saa 24 zilizopita, huku idadi jumla ya visa hivyo ikifika 12. Kupitia...

Mudavadi: Wanawake ni nguzo muhimu katika juhudi za kuleta amani

0
Serikali imepongeza juhudi zinazotekelezwa na wanawake katika kuzuia mizozo kwa ustawi wa taifa hili. Waziri mwenye Mamlaka Makuu Musalia Mudavadi, amesema ipo haja ya kusikiza...

Hoja ya kumbandua Gachagua: Vikao vya kukusanya maoni kuendelea kwa siku...

0
Bunge la kitaifa limeongeza siku moja zaidi kwa vikao vinavyoendelea vya ushirikishwaji umma kuhusu kung’atuliwa mamlakani kwa naibu rais Rigathi Gachagua. Kupitia kwa taarifa...

Mtoto Pendo: Mahakama yatoa amri ya kukamatwa kwa afisa wa polisi

0
Mahakama Kuu imetoa agizo la kukamatwa kwa afisa wa cheo cha juu wa polisi, Mohammed Baa, aliyehusishwa na kifo cha mtoto Pendo mwaka 2017. Agizo...

Shughuli za masomo zasitishwa katika Chuo Kikuu cha Moi

0
Usimamizi wa chuo kikuu cha Moi, umetangaza kufungwa mara moja kwa chuo hicho, kutokana na mgomo unaoendelea wa wafanyakazi na ghasia za wanafunzi. Kupitia taarifa...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS