Tom Mathinji
Wanafunzi 16 wa shule ya Hillside Endarasha wafariki katika mkasa wa moto
Takriban wanafunzi 16 wameripotiwa kufariki baada ya moto kuteketeza moja ya mabweni katika shule ya Hillside Endarasha katika Kaunti ya Nyeri.
Vyanzo vya habari vinaonyesha kuwa wanafunzi...
OPEC: Muda wa kupunguza usambazaji mafuta kuongezwa
Nchi nane wanachama wa mataifa yanayozalisha mafuta, leo Alhamisi zimekubaliana kuongeza muda uliopo wa kupunguza usambazaji wa bidhaa za mafuta hadi mwishoni mwa mwezi...
Rais Zelensky kukutana na Chansela wa Ujerumani Ijumaa
Chansela wa Ujerumani Olaf Scholz na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky, watashiriki mazungumzo Ijumaa Jijini Frankfurt, haya ni kulingana msemaji wa serikali ya Ujerumani.
Mkutano...
DRC yapokea awamu ya kwanza ya chanjo ya Mpox
Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, imepokea awamu ya kwanza ya chanjo za kukabiliana na ugonjwa wa Mpox.
DRC ambayo ndio chimbuko la ugonjwa wa...
Wakfu wa M-pesa kulipa KRA shilingi milioni 6.5
Wakfu wa M-Pesa utailipa halmashauri ya kukusanya ushuru nchini KRA, malimbikizi ya ushuru ambayo ni jumla ya shilingi milioni 6.5.
Hii inafuatia uamuzi uliotolewa na...
China yatakiwa kuimarisha ushirikiano wake na Afrika
Rais William Ruto, ametoa wito kwa China iimarishe ushirikiano baina yake na mataifa ya Afrika, kwa kusaidia mataifa hayo kupata ufadhili wa masharti nafuu...
Mwanariadha wa Uganda Rebecca Cheptegie amefariki
Mwanariadha wa Uganda Rebecca Cheptegie, aliyekuwa akipokea matibabu nchini Kenya baada ya kuchomwa moto na mpenzi wake, ameaga dunia.
Kupitia mtandao wa X Alhamisi alfajiri,...
Kipsang: Marufuku dhidi ya mikutano shuleni muhula wa tatu yangalipo
Wizara ya elimu imekariri agizo lake la kupiga marufuku shughuli za ziada katika muhula huu wa tatu wa kalenda ya masomo.
Katibu wa elimu ya...
Kevin Kang’ethe akanusha mashtaka ya mauaji
Mshukiwa wa mauaji Kevin Kang’ethe, aliyesafirishwa kutoka Kenya kuelekea Marekani siku ya Jumapili, amenyimwa dhamana baada ya kukanusha mashtaka ya mauaji dhidi yake.
Kang'ethe anadaiwa...
Samson Opiyo ashindia Kenya nishani ya Fedha
Samson Opiyo aliishindia Kenya nishani ya kwanza kwenye michezo ya Olimpiki ya walemavu mjini Paris, baada ya kunyakua nishani ya fedha katika shindano la...