Tom Mathinji
Murkomen: Serikali itawahamisha wanabiashara walio kando ya barabara kuu
Waziri wa uchukuzi Kipuchumba Murkomen, amesema serikali itawahamisha wachuuzi na masoko ya wazi kutoka barabara kuu.
Murkomen aliyasema hayo Jumamosi asubuhi katika eneo la Londiani...
Rais Ruto awaomboleza waliofariki katika ajali ya Londiani
Rais William Ruto ameongoza taifa kuwaomboleza waliofariki katika ajali ya barabarani iliyotokea eneo la Londiani kaunti ya Kericho Ijumaa jioni.
“Ni swala la kutamausha kwamba...
Gachagua: Serikali inajizatiti kuhakikisha wakulima wa miraa wananufaika
Naibu rais Rigathi Gachagua amewahakikishia wakulima wa Miraa usaidizi wa serikali, ili wajinufaishe na mmea huo na hivyo kuinua maisha yao.
Akizungumza Ijumaa akiwa...
EPRA yaongeza bei ya bidhaa za mafuta
Halmashauri ya kudhibiti sekta ya kawi na mafuta nchini (EPRA), imetangaza bei mpya za mafuta kuanzia leo Jumamosi.
Hii ni kufuatia kutiwa saini kwa...
Zaidi ya watu 50 wafariki katika ajali ya barabarani Londiani
Zaidi ya watu 50 wanahofiwa kuaga dunia, baada ya lori kugonga magari kadhaa katika makutano ya Londiani, katika barabara ya Kericho-Nakuru.
Wanabiashara waliokuwa kando ya...
Ufaransa yatakiwa kusitisha ubaguzi wa rangi
Siku kadhaa baada ya polisi nchini Ufaransa kumpiga risasi mvulana wa umri wa miaka 17, Umoja wa Mataifa umeitaka Ufaransa kushughulikia masuala ya ubaguzi...
Naomi Campbell ajifungua mtoto wa pili
Mwanamitindo maarufu duniani Naomi Campbell amekuwa mama kwa mara ya pili, akiwa na umri wa miaka 53.
Nyota huyo ambaye alimkaribisha mtoto wake wa kwanza...
Rais Ruto aidhinisha nyongeza ya mishahara kwa watumishi wa umma
Rais William Ruto ametangaza nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi wote wa umma kuanzia tarehe moja mwezi Julai mwaka huu.
Kiongozi wa taifa alisema serikali...
Rais Ruto atia Saini mswada wa ugavi wa mapato kuwa sheria
Rais William Ruto leo Ijumaa, ametia saini kuwa sheria Mswada wa Ugavi wa Mapato kwa Kaunti wa 2023 na pia Mswada wa Hazina ya...
Uteuzi wa Phyllis Wagacha kwa tume ya SRC wakataliwa
Kamati ya bunge la Kitaifa kuhusu leba, imekataa uteuzi wa Phyllis Wagacha kuwa mwanachama wa Tume ya Mishahara na Marupurupu, SRC.
Wanachama wa kamati hiyo...