Home Authors Posts by Tom Mathinji

Tom Mathinji

Tom Mathinji
1553 POSTS 0 COMMENTS

Morans yafuzu robo fainali ya FIBA Afrocan

0
Timu ya taifa ya wanaume ya mpira wa vikapu Kenya Moran’s ilifuzu kwa robo fainali ya michuano inayoendelea ya FIBA Afrocan licha ya kushindwa...

Wapiganaji nchini Sudan wahimizwa kusitisha vita

0
Wahusika katika mzozo wa Sudan, wameombwa kutangaza kusitisha mapigano bila masharti. Rais William Ruto alisema Jeshi la Sudan na Kikosi cha Wanamgambo cha RSF, lazima...

Raila Odinga asema maandamano ya Jumatano yataendelea

0
Kiongozi wa Azimio la Umoja One Kenya Raila Odinga, siku ya Jumatatu asubuhi alitumia uchukuzi wa umma kutoka nyumbani kwake Karen hadi katikati ya...

Mahakama yadumisha uamuzi wa kusimamisha utekelezaji wa sheria ya fedha 2023

0
Mahakama kuu ya Kenya imekataa kuondoa uamuzi wa kusitisha kutekelezwa kwa sheria ya fedha ya mwaka 2023. Jaji wa Mahakama kuu Mugure Thande, alitoa uamuzi...

Watu sita wauawa kwa kudungwa kisu nchini China

0
Watu sita wakiwemo watoto watatu, wameuawa na mwingine kujeruhiwa katika kisa cha kudungwa visu katika shule moja ya chekechea, katika mkoa wa Guangdong kusini...

Rais Ruto aongoza mkutano wa IGAD kuhusu mchakato wa amani nchini...

0
Rais William Ruto anaongoza mkutano wa mataifa  manne  wanachama wa    shirika la IGAD, kuhusu mchakato wa amani nchini Sudan Jijini Addis Ababa, Ethiopia. Mkutano...

Dorcas Rigathi: Msiwatenge waraibu wa mihadarati

0
Mke wa naibu Rais mchungaji Dorcas Rigathi, ametoa changamoto kwa wazazi walio na watoto ambao ni waraibu wa mihadarati, kuwakumbatia ili kuwasaidia kuacha utumizi...

Mashua iliyokuwa na wahamiaji 200 yatoweka katika visiwa vya Canary

0
Takriban wahamiaji 200 kutoka Senegal, hawajulikani waliko baada ya boti walimokuwa wakisafiria kutoweka katika visiwa vya Canary, huku shughuli za uokoaji zikiendelea. Waokoaji wa Uhispania...

Mudavadi ashutumu maandamano ya sabasaba

0
Waziri mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi ameshtumu maandamano ya Saba Saba yaliyoitishwa na upinzani. Akiongea leo Jumamosi wakati wa hafla ya mazishi katika kijiji cha...

Shabana FC yatwaa taji ya taifa ya Super League

0
Timu ya soka ya Shabana, imetawazwa bingwa wa taji ya taifa ya Super League (NSL), baada ya kuiadhibu Kisumu All Stars mabao 2-0, katika...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS