Home Authors Posts by Tom Mathinji

Tom Mathinji

Tom Mathinji
1579 POSTS 0 COMMENTS

Halmashauri ya KPA yapongezwa kwa kuboresha kivukio cha Likoni

0
Wakazi wa Mombasa wamepongeza halmashauri ya Usimamizi wa Bandari nchini (KPA) kwa kuboresha huduma za feri katika Kivukio cha Likoni tangu huduma za Shirika...

Wizara ya Afya yakagua vituo 808 vya matibabu nchini

Jumla ya vituo 808 vya afya vimehesabiwa kwenye sensa inayoendelea ya vituo vya afya nchini iliyoanza siku ya Jumatatu.  Wizara ya Afya inataka kuboresha utoaji...

Rais Ruto: Serikali itashirikiana na sekta ya kibinafsi kubuni nafasi za...

0
Zaidi ya vijana 3,500  kutoka kanda ya Afrika ya mashariki wamenufaika na kozi mbali mbali chini ya mpango wa 2jiajiri unaofadhiliwa na benki ya...

KTCPA yapongeza mpango wa lishe shuleni

Chama cha wakuu wa vyuo vya mafunzo kwa walimu nchini (KTCPA),  kimeelezea imani yake kwamba mpango wa utaoji lishe kwa wanafunzi shuleni unaoungwa mkono...

Serikali imejitolea kukabiliana na ufisadi, asema Rais Ruto

0
Rais William Ruto amesema atatumia kikamilifu mamlaka yake ya kikatiba kulinda rasilimali za umma. Aliwahakikishia Wakenya kwamba Serikali itatumia ushuru kwa busara katika kutekeleza mipango...

Shirika la KBC kushirikiana na lile la Xinhua kuimarisha utoaji habari

0
Serikali ya Kenya kupitia shirika la utangazaji nchini KBC, inatafuta fursa za ushirikiano na shirika la habari la kiserikali nchini China la Xinhua, kwa...

Raila atoa wito wa kutolewa kwa fedha zilizotengewa ugatuzi

0
Kiongozi wa muungano wa Azimio la Umoja One Kenya Raila Odinga, ametoa wito wa kutolewa kwa fedha zilizotengewa majukumu yaliyogatuliwa kwa serikali za kaunti. Raila...

Polisi wanasa mihadarati aina ya Cocaine Jijini Nairobi

Majasusi wamepata mihadarati inayoshukiwa kuwa Cocaine, kwenye msako unaoendelea dhidi ya ulanguzi wa dawa za kulevya jijini Nairobi. Kwenye oparesheni iliyotekelezwa mtaani Buru Buru...

Rais Ruto: Tunapaswa kukomboa ugatuzi dhidi ya ufisadi

0
Rais William Ruto ameonya kuwa hatua kali zitachukuliwa dhidi ya maafisa watakaofuja rasilimali za umma. Alisema kuwa, huku serikali ya litaifa ikiendelea kuunga mkono ugatuzi...

Seneta Mandago akamatwa na polisi

0
Seneta wa Uasin Gishu Jackson Mandago, amekamatwa na maafisa wa polisi saa chache baada ya mahakama kutoa kibali cha kukamatwa kwake, kuhusiana na sakata...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS