Home Authors Posts by Tom Mathinji

Tom Mathinji

Tom Mathinji
1548 POSTS 0 COMMENTS

Serikali kutumia shilingi bilioni 2.3 kwa ujenzi wa vituo vya afya...

0
Serikali ya kitaifa itatumia kitita cha shilingi bilioni 2.3 katika kupandisha ngazi vituo vya afya hadi kiwango cha level 3, hayo ni kwa mujibu...

Kindiki: Maelfu ya pasipoti hazijachukuliwa katika afisi za uhamiaji

0
Waziri wa usalama wa kitaifa Prof. Kithure Kindiki, amesema serikali itazindua mchakato wa kitaifa Jumatano wiki ijayo, kuhakikisha Pasipoti zilizoko katika afisi za uhamiaji...

Gavana wa Kitui aunga mkono kubuniwa kwa kaunti mpya

0
Huku mjadala ukiendelea miongoni mwa wakenya kuhusu kubuniwa kwa kaunti tano mpya, Gavana wa kaunti ya Kitui Julius Malombe, ameunga mkono pendekezo hilo, ambapo...

Dorcas Rigathi: Ni jukumu la kila mtu kufanya maamuzi sahihi

0
Mkewe naibu Rais mchungaji Dorcas Rigathi, amefungua kambi ya siku mbili ya matibabu inayolenga waraibu wa pombe na mihadarati katika eneo la Shimanzi, kaunti...

Kenya kupokea kiwango kikubwa cha mvua za vuli

Nchi hii inatarajiwa kupata kiasi kikubwa cha mvua wakati wa msimu wa mvua za vuli, kuanzia mwezi Oktoba hadi Disemba. Mkurugenzi wa Idara ya...

Bunge la Seneti laidhinisha kubuniwa kwa kamati ya mazungumzo ya pande...

Bunge la Seneti limeidhinisha hoja ya kubuniwa kwa kamati ya mazungumuzo ya kitaifa ya mazungumzo, kutoa fursa ya mazungumzo kati ya mirengo ya Kenya...

Serikali kuboresha maabara ya uchunguzi wa kifua kikuu

0
Wizara ya Afya pamoja na washirika wa kimaendeleo inatekeleza mipango ya kuboresha maabara ya uchunguzi wa ugonjwa wa kifua kikuu. Mradi huo unalenga kubadilisha maabara...

Rais Ruto aandaa mkutano wa Baraza la Mawaziri kaunti ya Kakamega

0
Rais William Ruto leo Jumanne asubuhi ameandaa mkutano wa Baraza la Mawaziri katika Ikulu Ndogo, kaunti ya Kakamega. Baada ya mkutano huo,  kiongozi wa taifa...

Afisa wa zamani wa KDF ashtakiwa kwa kuchapisha habari za kupotosha

Afisa mmoja wa zamani wa vikosi vya ulinzi vya Kenya (KDF), siku ya Jumatatu alifikishwa katika mahakama ya milimani akikabiliwa na mashtaka matano ya...

Serikali kujenga kiwanda cha maziwa kaunti ya Narok

0
Serikali kupitia kwa kampuni ya new KCC, itajenga kiwanda cha maziwa kwa gharama ya shillingi million 750 katika kaunti ya Narok, ili kuimarisha utoaji...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS