Tom Mathinji
Mbunge wa Kitui Mashariki Nimrod Mbai aachiliwa kwa dhamana
Mbunge wa Kitui Mashariki Nimrod Mbai ameachiliwa kutoka kituo cha polisi cha Kitengela kwa dhamana ya shilingi 50,000 pesa taslimu.
Hii ni baada ya mbunge...
Mahakama yaongeza muda wa maagizo ya kusimamisha sheria ya fedha
Mahakama kuu imeongeza muda wa maagizo ya kusimamisha utekelezaji sheria ya fedha ya mwaka 2023 hadi Jumatatu wiki ijayo.
Jaji Mugure Thande ataamua siku hiyo...
Jamii zinazoishi mpakani zatakiwa kutangamana kwa amani
Waziri mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi ameelezea haja ya jamii zinazoishi mpakani kudumisha amani.
Akizungumza alipofungua rasmi kongamano kuhusu utangamano wa amani miongoni mwa jamii...
Misri kuchuana na Morocco fainali AFCON U-23
Misri itachuana na wenyeji Morocco katika fainali ya kuwania taji ya kombe la taifa bingwa barani Afrika kwa wachezaji wasiozidi umri wa miaka 23...
Washukiwa watatu wa wizi wa pikipiki wanaswa na polisi
Maafisa wa idara ya upelelezi wa jinai DCI, wamesambaratisha kundi la wezi wa pikipiki ambalo limekuwa likitekeleza wizi huo kati ya Kenya na nchi...
Makala ya mwaka huu ya Ligi Ndogo kuandaliwa tarehe 17-18...
Makala ya mwaka huu ya kombe la Ligi Ndogo kanda ya Afrika mashariki, yameratibiwa kuandaliwa kati ya tarehe 17 na 18 mwezi Agosti mwaka...
Rais Ruto ashauriana na viongozi kutoka Nyanza
Rais William Ruto, amesema utawala wake utafanya kazi na viongozi kutoka pembe zote za nchi, bila kuzingatia miengemeo yao ya kisiasa ili kuwahudumia wakenya.
Akizungumza...
Watu wanne wafariki baada ya kunywa pombe haramu Migori
Watu wanne wamethibitishwa kufariki na wengine wanane wanapokea matibabu katika vituo kadhaa vya afya kaunti ya Migori, baada ya kubugia pombe inayoshukiwa kuwa na...
Gachagua: Serikali italipa bili za waathiriwa wa ajali ya Londiani
Naibu Rasi Rigathi Gachagua ametangaza kuwa serikali italipa bili za waathiriwa wa ajali ya Londiani.
Akizungumza alipoungana na viongozi na Wakenya katika eneo la Londiani...
Nauli ya matatu kuongezeka kwa asilimia 30 kuanzia Jumatano
Chama cha Wamiliki wa Matatu, MOA kimetangaza nyongeza ya nauli za matatu kwa asilimia 30 kuanzia kesho Jumatano.
Akiwahutubia wanahabari, mwenyekiti wa chama hicho Albert...