Tom Mathinji
Mudavadi: Mazungumzo ya pande mbili yataangazia maswala ya wakenya
Waziri mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi, amewahakikishia wakenya kwamba mazungumzo baina ya serikali na upinzani yataangazia masuala yanayowaathiri wakenya na wala sio mkataba wa...
Serikali kuanzisha awamu mpya ya kuwasajili wakulima
Naibu Rais Rigathi Gachagua amesema serikali itanzisha awamu mpya ya kuwasajili wakulima, huku ikiendelea kusambaza mbolea iliyopunguzwa bei.
Akizungumza Jumamosi katika eneo la North Rift,...
Ardhi ya uzalishaji ya Galana Kulalu kuongezwa hadi ekari 20,000
Kampuni ya Twiga Foods inanuia kupanua eneo la ardhi kwenye mradi wa Galana Kulalu wa uzalishaji vyakula kufikia ekari 20,000.
Upanuzi huo unatarajiwa kuongeza...
Urusi yaonya ECOWAS dhidi ya kutuma wanajeshi Niger
Urusi imeionya Jumuiya ya kiuchumi ya Afrika Magharibi Ecowas, kuhusu kuchukua hatua za kijeshi ambazo inasema itachukua dhidi ya wanajeshi waliofanya mapinduzi nchini Niger.
Inasema...
Wakenya wanaoishi Msumbiji wahimizwa kudumisha utamaduni
Rais Ruto amewahakikishia Wakenya walioko ughaibuni kwamba Serikali itaendelea kufanya mageuzi yanayolenga kuboresha utoaji wa huduma.
Alisema jitihada zinafanyika kuhakikisha huduma zote za Serikali zinahamishiwa...
Watu zaidi ya milioni 54 upembe wa Afrika wanahitaji msaada
Watu zaidi ya milioni 54 katika eneo la upembe wa Afrika wanahitaji msaada kwa dharura huku athari za mabadiliko ya tabia nchi zikiendelea kudhihirika.
Akiongea...
Waliokuwa waraibu wa mihadarati kutumiwa katika mpango wa upanzi wa miti
Mke wa naibu Rais mchungaji Dorcas Rigathi, ameanzisha mpango wa majaribio wa upanzi wa mitiunaowahusisha vijana waliokuwa waraibu wa mihadarati.
Mpango huo wa majaribio umeanzishwa...
Mugure Thande na David Majanja miongoni mwa majaji waliohamishwa
Idara ya Mahakama imewahamisha majaji 13 kupitia tangazo lililotolewa juzi Jumatatu.
Miongoni mwa majaji waliohamishwa ni pamoja na Mugure Thande, ambaye alikuwa akiongoza kitengo cha...
Mama taifa Rachael Ruto awahimiza viongozi kaunti ya Narok kuungana
Mama taifa Rachael Ruto ametoa wito kwa viongozi wa kaunti ya Narok kushirikiana na kuunga mkono vitengo mbali mbali vya uongozi, kwa manufaa ya...
Afisa wa polisi ampiga risasi mwenzake kaunti ya Nakuru
Maafisa wa polisi wanachunguza kisa ambapo afisa wa polisi alimpiga risasi afisa mwenzake na kumuua siku ya Jumanne asubuhi.
Kamanda wa polisi kaunti ya Nakuru...