Tom Mathinji
Mahakama yadumisha uamuzi wa kusimamisha utekelezaji wa sheria ya fedha 2023
Mahakama kuu ya Kenya imekataa kuondoa uamuzi wa kusitisha kutekelezwa kwa sheria ya fedha ya mwaka 2023.
Jaji wa Mahakama kuu Mugure Thande, alitoa uamuzi...
Watu sita wauawa kwa kudungwa kisu nchini China
Watu sita wakiwemo watoto watatu, wameuawa na mwingine kujeruhiwa katika kisa cha kudungwa visu katika shule moja ya chekechea, katika mkoa wa Guangdong kusini...
Rais Ruto aongoza mkutano wa IGAD kuhusu mchakato wa amani nchini...
Rais William Ruto anaongoza mkutano wa mataifa manne wanachama wa shirika la IGAD, kuhusu mchakato wa amani nchini Sudan Jijini Addis Ababa, Ethiopia.
Mkutano...
Dorcas Rigathi: Msiwatenge waraibu wa mihadarati
Mke wa naibu Rais mchungaji Dorcas Rigathi, ametoa changamoto kwa wazazi walio na watoto ambao ni waraibu wa mihadarati, kuwakumbatia ili kuwasaidia kuacha utumizi...
Mashua iliyokuwa na wahamiaji 200 yatoweka katika visiwa vya Canary
Takriban wahamiaji 200 kutoka Senegal, hawajulikani waliko baada ya boti walimokuwa wakisafiria kutoweka katika visiwa vya Canary, huku shughuli za uokoaji zikiendelea.
Waokoaji wa Uhispania...
Mudavadi ashutumu maandamano ya sabasaba
Waziri mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi ameshtumu maandamano ya Saba Saba yaliyoitishwa na upinzani.
Akiongea leo Jumamosi wakati wa hafla ya mazishi katika kijiji cha...
Shabana FC yatwaa taji ya taifa ya Super League
Timu ya soka ya Shabana, imetawazwa bingwa wa taji ya taifa ya Super League (NSL), baada ya kuiadhibu Kisumu All Stars mabao 2-0, katika...
Rais Ruto: Uhusiano wa Kenya na Congo utapanua fursa za kiuchumi
Kenya na Jamhuri ya Congo zimetia saini mikataba ya kina baina ya nchi hizo mbili inayolenga kupanua ustawi wao wa kiuchumi.
Mikataba hiyo 18 ni...
Mlindalango David De Gea aondoka Manchester United
Baada ya miaka 12 katika uwanja wa Old Trafford, mlindalango David de Gea ametangaza kuiaga timu ya Manchester United, inayoshiriki ligi kuu ya soka...
Rais Biden atetea uamuzi wake wa kutuma mabomu hatari Ukraine
Rais Joe Biden wa marekani ametetea uamuzi wake tata wa kuipa Ukraine mabomu yanayorushwa kwa pamoja ambayo husababisha vifo vya raia wengi.
Rais Biden...