Home Authors Posts by Tom Mathinji

Tom Mathinji

Tom Mathinji
1453 POSTS 0 COMMENTS

Wakazi wa Samburu waonywa dhidi ya ukeketaji wasichana

0
Wakazi wa kaunti ndogo ya Samburu Mashariki wameonywa dhidi ya kuendeleza tamaduni potovu ya ukeketaji wa wasichana. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa mradi wa...

Kalonzo kuongoza ujumbe wa Azimio kwenye mazungumzo na Kenya Kwanza

0
Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya, umezindua kundi la wanachama watano kuuuwakilisha kwenye mchakato wa mazugumzo na Kenya Kwanzaambayo yalipendekezwa. Kwenye taarifa, Azimio...

Aliyekuwa kiongozi wa Mungiki Maina Njenga akamatwa

0
Aliyekuwa kiongozi wa Mungiki Maina Njenga alikamatwa na maafisa wa polisi Jumatano usiku. Kulingana na wakili wake Ndegwa Njiru, Njenga alikamatwa pamoja na kakake Njoroge...

Serikali yatangaza kufunguliwa kwa shule kaunti za Nairobi, Kisumu na Mombasa

0
Serikali imetanga kurejelewa kwa masomo katika shule zote za msingi na sekondari za kutwa katika kaunti za Nairobi, Mombasa na Kisumu. Katika taarifa ya pamoja...

Rais Ruto: Upinzani hautavuruga ajenda ya Serikali kupitia maandamano

0
Serikali itawachukulia hatua kali wanaotumia vibaya Katiba na kusababisha machafuko hapa nchini. Rais William Ruto amesema mpango huo utasitishwa. huku akibainisha kuwa Serikali ina...

Idara ya Magereza yawaachilia huru wafungwa 23,000

0
Idara ya magereza imewaachilia huru wafungwa 23,000 wa makosa madogo madogo, kwenye marekebisho yanayoendelea ya kupunguza idadi ya wafungwa. Katibu katika idara hiyo Salome Muhia,...

Waziri Kindiki awaonya wanaochochea ghasia eneo la Sondu

0
Waziri wa usalama wa taifa Prof. Kithure Kindiki, amekashifu ghasia zilizoshuhudiwa katika eneo la Sondu kwenye mpaka wa kaunti za Kericho na Kisumu. Kindiki...

Kituo cha utafiti wa Malaria chazinduliwa kaunti ya Kiambu

0
Kituo cha utafiti wa ugonjwa wa Malaria kimezinduliwa katika eneo la Thika, Kaunti ya Kiambu kwa lengo ya kufanikisha mikakati ya kukabiliana na ugonjwa...

Bei za Petroli na mafuta taa zapunguzwa

0
Bei za petroli ya supa na mafuta taa zimepunguzwa kwa senti 85 na shillingi 3.96 mtawalio. Halmashauri ya kuthibiti bei za petroli EPRA inasema lita...

DCI kuchunguza madai ya ufisadi katika mpango wa karo wa Uasin...

0
Idara ya upelelezi wa maswala ya Jinai DCI,  imeanzisha uchunguzi katika madai ya ufisadi kwenye mpango wa utoaji wa msaada wa karo katika serikali...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS