Tom Mathinji
Chama cha UDA chataka Raila Odinga ashtakiwe
Chama cha United Democratic Alliance, UDA sasa kinamtaka kinara za Azimio Raila Odinga kufunguliwa mashtaka ya ugaidi, kufuatia ghasia zilizozuka jana wakati wa maandamano...
Muungano wa Azimio kurejelea maandamano Jumatano
Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya, umesema utaandaa maandamano dhidi ya serikali Jumatano juma lijalo.
Katika mkutano na wanahabari siku ya Alhamisi, muungano huo...
Gavana Sakaja alifanyia mabadiliko Baraza lake la Mawaziri
Gavana wa kaunti ya Nairobi Johson Sakaja, amefanya mabadiliko katika Baraza lake la Mawaziri, mwaka mmoja tu baada ya kuchaguliwa afisini.
Kupitia kwa taarifa siku...
Kenya kutumia uhusiano wake na Iran kupanua biashara
Kenya itatumia vyema uhusiano wake imara na Iran ili kupanua biashara.
Rais William Ruto alisema kiwango cha biashara kati ya nchi hizo mbili bado kiko...
Meli kubwa zaidi duniani kutia nanga Mombasa
Sekta ya utalii humu nchini itafaidika pakubwa huku meli kubwa zaidi duniani ya maktaba MV Logos Hope, ikitarajiwa kutia nanga mjini Mombasa mwezi Agosti.
Meli...
Rais wa Iran Ebrahim Raisi awasili nchini Kenya
Rais wa Iran Ebrahim Raisi amewasili nchini Kenya. Kiongozi huyo wa Jamuhuri ya Iran alilakiwa na Waziri wa Mambo ya Nje Dkt. Alfred Mutua...
Viongozi 15 wa serikali kuhudhuria mikutano ya ngazi za juu Nairobi
Kenya itakuwa mwenyeji wa marais na viongozi wa serikali wapatao 15 na mawaziri 50 wa mashauri ya nchi za kigeni kwa mikutano ya ngazi...
Ujenzi wa mitaro ya kupitisha maji katika mashamba ya Mwea kukamilishwa
Ujenzi wa mitaro ya kupitisha maji uliokuwa umekwama katika mpango wa unyunyuziaji mashamba maji wa Mwea utakamilishwa katika muda wa miezi miwili ijayo.
Mitaro...
Wizara ya Afya yapunguza muda wa kuwalipa wawasilishaji bidhaa
Wizara ya Afya imetangaza kupunguzwa kwa muda wa kuwalipa wawasilishaji bidhaa za afya, hadi siku 90 kutoka siku 100.
Hata hivyo, wawasilishaji bidhaa hizo...
Morans yafuzu robo fainali ya FIBA Afrocan
Timu ya taifa ya wanaume ya mpira wa vikapu Kenya Moran’s ilifuzu kwa robo fainali ya michuano inayoendelea ya FIBA Afrocan licha ya kushindwa...